Sugu amchana Faiza,amwambia kama anataka rav4 aende WCB

Mafala wote hawaaa manake wazima na akili hawawezi lete usemgerma wao humu kwani kuhudumia mtoto si jukumu lao asa kwan ukitekeleza majukumu yako ni lazima utangazie umma???
 
Kupata dem mwenye akiri na msimamo ni ngumu sana kumi kwa mmoja. yaani miaka hii ndio kuzidi, kuomba mungu tu
 
Hahahaha Hapa ndipo utajua tofauti ya Zari na wanawake Wa Bongo....


Aiseeeh ni Bora uoe Dada yake na shetani kuliko kuoa huyu kahaba
 
Faiza tatizo lake ni moja tu..kulialia na kulalamika mitandaoni, ila anayo hoja ya msingi.
Hata mi naona...waala hata siyo chizi huyu demu na anayoyasema ni ya ukweli kwa Sugu coz I know him much!

Tatizo la faiza ni moja tuu...kwambaaa yale ya jana Clouds, Domo aliyotema cheche eti anampa laki 5 misa, rv 4 n' blah blah ni uwongo mtupu!...yy anayaleta in real life na kumshambulia Sugu moto chini[emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji481]
 
Sio sugu.huyu ni huyuhuyu demu anajitekenya na kucheka.chikongwe
 
kweli kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…