Sugu amchana Faiza,amwambia kama anataka rav4 aende WCB

Sugu kwa uyo bibie alikiingia asee,,ila angepgaga kimya tuu,kwn wakitukana wanampa kula au
 
Hata kimya ni jibu tena linaloumiza kuliko hata ncha ya kisu,
Kujibizana na mwehu nawewe utaonekana mwehu piga kimya Fanya mambo yako,
Ile hotel ndio inayomtoa roho Huyo ajuza
 
[emoji16][emoji16][emoji16] mtu anaashiria ukichaa hashwaa napopoteza asilimia za kuishi na yeye mwenyewe .faiza jirudie shauri yako
 
Mfikishieni Mh Sugu salaam zangu mwambieni aache kabisa kujibizana na huyu mama mitandaoni maana atamharibia heshima yake.Akae kimya kama haoni.Make huyu mwanamke hana mpango wa kunyamaza.Wanajiaibisha wote wawili
 
Hata mimi ningekuwa Sugu nisingetaka mazungumzo na huyo baby momma wala mawasiliano ya namna yeyote.
 
Sugu kafungue shauri mahakamani kama kafikisha miaka 7 mchukue umlee mwenyewe achana na huyo fala faiza .....kwanza kanyataaa bhaaa...mwanamke mjinga huyo balaa ...ndiyo maana sisi wengine tunawafanyaga mashamba ya kulodi (unamtotolesha) kisha unasepa natoto wako inakuwa imekwisha

Sugu usimjibu kitu kaaa kimya .....sugu moto chini *2 aaaahaa....aahaaa....aahaaa...ni moto chini
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] hata mi nimeliona hilooo kawatia uchiz wadada wanaopenda slope loooooh
 
Watu wengi wenye Sonono wanakimbilia kwenye mitandao ya kijamii kuelezea matatizo yao tena wanawaambia watu ambao hawafahamini kabisa wakiamini ndio msaada watu wenye tatizo hili wanahitaji msaada wa kisaikolojia na kuendelea kuwaunga mkono kwenye mitandao ndio tunakuza zaidi tatizo lao.
Faiza akili yake haiko sawa nadhani ila wanaomzunguka wanaona poa tu na Sugu ni bora akaushe tu kuliko kumjibu anazidi kumtia wazimu,kila unapowaza kuanzisha familia usifikirie tu utapata mtoto gani ila ni vema kuwaza mwenza kama ataweza changamoto za malezi kuna viumbe wengine hautakiwi kuzaa nao kabisa.
 
She still dream that there is a day of union....!!
Let her dream!!yuko desperate sana
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] loooh
 
somo/fundisho: wanaume tutulie...tuepuke kuzaa na "madanga"/wadada wa mujini.
Kabisa. Ushauri murua kabisa huo. Sijajua Sigu alianzaje kuzaa na Faiza asie na maadili namna ile! Ukiabvalia picha anazoposti instagram utapna labosa kwamba Suvu aliglbuvi kuzaa na kahaba yule. Hizi ny**e noma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…