Sugu ameonesha ulimbukeni mkubwa sana kusema kuwa ameweka rekodi ya Dunia ya Muandamanaji aliyevaa vito vya thamani zaidi katika maandamano

Unafikiri mtu masikini njaa kali kama Lucas angekuwa kwenye hayo maandamano si angening'inia kwenye shingo ya sugu ili aondokane na umasikini wake
 
Kama kweli alisema hivyo basi alikuwa anatafuta showbiz kwenye jukwaa lisilorasmi!..There are lot of platforms for bragging na sio maandamano.By the way kwenye msafara wa mamba kenge hawakosi...
 
Tunapoteza nguvu kazi kujadili watu badala ya changamoto nyingi tulionazo kwenye taifa letu lililodumaa
 
..Ndugai alikuwa hatendi haki kwa wabunge wa upinzani.

..Na chanzo cha Sugu kutukana ni uonevu aliofanyiwa na uongozi wa bunge.

..Unachofanya wewe ni kukemea reaction ya Sugu bila kuangalia mazingira yaliyomsukuma kufanya alichokifanya.
Unachofanya ni kama kuhalalisha ushoga!
Sugu has no class!
Uncivilised, period.
 
Mkuu unaona aibu kuweka namba ya simu, au umesahau.
 
Nilichokiona Mimi Sugu anaandama Kwa ajili ya hawa ndugu zetu waliojichokea, kama ni maisha yeye tayari maisha anayo na blingbling shingoni kama kawaida.

Inashangaza Mtanzania mwenye dhiki na ufukara kama haushiriki maandamano unawakilishwa na watu ambao kimsingi kimaisha wameshajipata.

Thread kama hizi ndio za kujuwa IQ za mazezeta ya CCM kama huyu Lofa.
 
Hupaswi kumzungumzia kwa lolote sababu anakuzidi kwa kila nyanja

Kwa hiyo sugu ana intellectual gani ya kuongoza serious issues za jimbo la mjini mbeya.
Wee hujui sugu aliingia mbeya baada ya wanambeya kusema wakiweka jiwe na sisiem watachagua jiwe.
Read between, under and above that line, kujua sugu ni mtu wa aina gani.

Lucas mwashambwa
 
Tafuta Hela wewe masikini wa akili na Mali Ili na wewe uvae Vito vya thamani.
 
Mpaka sasa Kati ya CCM na andazi tunachaguwa andazi.

CCM mmefeli good time hebu tuachieni nchi yetu Kwa amani msilazimishe vita ya wenyewe Kwa wenyewe.
 
Direct attack and assault. Vijana WA Chadema let's be realistic,ni majuzi Tu mlikuwa mnajadili Saa ya samia.
Vipi Leo tukijadili alichokipost Sugu.
 
Lengo lake ni kuwajulisha Polisi kuwa maandamano hayakuwa na wahalifu wa aina yoyote ile wa kuweza kuwasumbua Polisi waliokuwa wakiwalinda.
Umeonesha ufinyu wa akili zako kuweza kutafsiri mambo.
 
Mpaka sasa Kati ya CCM na andazi tunachaguwa andazi.

CCM mmefeli good time hebu tuachieni nchi yetu Kwa amani msilazimishe vita ya wenyewe Kwa wenyewe.

Sisiem wamefeli lakini sugu kafeli zaidi. Mfuateni Tulia anaweza akawafanyia jambo. Kwa maana yeye anauwezo wa kuingia milango ambayo sugu hawezi kuingia. Jifunzeni kufanya lobbying. Tulia angekuwa kule kaskazini kwa akina meku mgeona jinsi wangelimtumia. Wangempa ajenda tu afanyie kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…