Sugu ameonesha ulimbukeni mkubwa sana kusema kuwa ameweka rekodi ya Dunia ya Muandamanaji aliyevaa vito vya thamani zaidi katika maandamano

Makasiriko
 


Nilikuwa nyuma ya Sugu wakati wa Maandamano, hakika kama alichoweka shingoni ni gold, then anachosema ni sawa.
 
Lengo lake ni kuwajulisha Polisi kuwa maandamano hayakuwa na wahalifu wa aina yoyote ile wa kuweza kuwasumbua Polisi waliokuwa wakiwalinda.
Umeonesha ufinyu wa akili zako kuweza kutafsiri mambo.
Wahalifu watoke wapi wakati wahalifu na majizi yapo ndani ya CHADEMA
 
Tujuze, kwenye maandamano ya Chadema ulionaje yalifana?
 
Sugu NI Sawa na chalamila au kangi lugola ccm
 

Kati ya wewe na huyu, mjanja nani?
 
Unachofanya ni kama kuhalalisha ushoga!
Sugu has no class!
Uncivilised, period.

..Sugu alionewa, na kunyanyaswa, na uongozi wa bunge.

..Na tukio lenyewe alifanyiwa kwa makusudi na ubabe wa uongozi wa bunge.

..Katika mazingira hayo sio rahisi victim akawa mstaarabu ktk kuonyesha hisia zake.

..Wapinzani ni binadamu na wakati mwingine uvumilivu huwafika kokomo.

..Utawala wa Bunge ulifikia mpaka kuruhusu matusi ya waziwazi dhidi ya wabunge wa upinzani, tena wakati mwingine wabunge wanawake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…