Sugu ameonesha ulimbukeni mkubwa sana kusema kuwa ameweka rekodi ya Dunia ya Muandamanaji aliyevaa vito vya thamani zaidi katika maandamano

..sawa.

..Ccm walionunua na kufunga mashine za kuweka makalio ya bandia ktk hospitali ya Mloganzila ndio wenye akili na uchungu na nchi hii.
Ingependeza uende hospitali haraka sana kwa matibabu ya dharura.
 

Hahahaa huyu Lucas Muoshambwa akija kukujibu sijui .
Muoshambwa hana moral authority ya kumuita sugu limbukeni.
 
Kwahio wewe ndio mwenye akili kwa kuwa chawa? Hivi wewe chawa na sugu Nani limbukeni huwainei huruma wazazi wako wenye kikokoteo mpewe mtihani na muumba Mana tumewachoka basi tu.
 
Kwahio wewe ndio mwenye akili kwa kuwa chawa? Hivi wewe chawa na sugu Nani limbukeni huwainei huruma wazazi wako wenye kikokoteo mpewe mtihani na muumba Mana tumewachoka basi tu.
Mimi sina akili ya kitoto na kilimbukeni kama SUGU
 
Always discussing people
 
Sugu na yule kahaba wa makunduchi hawana tofauti wote ni wapumbavu .... kahaba kanunua saa za bil 1 tsh na huyo boya Sugu anajisifia upumbavu kama huo ....chadema imejaa wapumbavu wengi sana .
 
Mshamba wewe alimaanisha kuwa mamaandamano ya amani kiasi kwamba hata mali zako hazipotei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…