Sugu ameonesha ulimbukeni mkubwa sana kusema kuwa ameweka rekodi ya Dunia ya Muandamanaji aliyevaa vito vya thamani zaidi katika maandamano

Sugu na yule kahaba wa makunduchi hawana tofauti wote ni wapumbavu .... kahaba kanunua saa za bil 1 tsh na huyo boya Sugu anajisifia upumbavu kama huo ....chadema imejaa wapumbavu wengi sana .
Huna Adabu mjinga wew kumuita Sugu mpumbavu ni kututukana watu watu wa Mbeya tulichangua akatuwakilsha vyema.
 
Una Wivu wa Kike Lucas
 
Unakuwa chawa wa namna hii, kizazi kinapotea aisee.
Fanya kazi achana na uchawa.
 
Huna Adabu mjinga wew kumuita Sugu mpumbavu ni kututukana watu watu wa Mbeya tulichangua akatuwakilsha vyema.
Wacha ubishi wewe pimbi ccm ni [emoji117][emoji90][emoji90][emoji90] tu sugu ni zuzu haswa ...kubwa jinga.
 
hahahaha sema Sugu ni mwanahiphop kwahiyo hayo majigambo ni kawaida sana kwenye ulimwengu wa hiphop. Na huwa anafanya makusudi ili kuchangamsha tu. Hilo la kujisifu msamehe tu ndo mambo ya hiphop yalivyo. Mwashambwa kasikilize mashairi ya wimbo unaitwa Did you ever think wa Nas feat. R Kelly
 
Acheni ulimbukeni na akili za kitoto kitoto
Relax man. Usiwe serious sana na hicho kibarua all the time. Usijepata degedege bure. Sugu asili yake hip hop. Kwao swaga ni jadi. No malice to nobody, he means.

Naona wewe unaweza tiririsha politiki hata kwenye gauni la harusi la madame wa manara. Take it easy, smooth, nigga. Ushindi ni wenu tu.
 
Lengo la tamko la sugu ni kuonesha namna gani maandamano ni ya amani kama walivyodhamiria maana kwa maandamano ya vurugu asingeweza kuvaa izo thamani au kama angevaa zisingekua salama.
 


 
Too long i didnt read it. Trash
 
Lengo la tamko la sugu ni kuonesha namna gani maandamano ni ya amani kama walivyodhamiria maana kwa maandamano ya vurugu asingeweza kuvaa izo thamani au kama angevaa zisingekua salama.
Ondoa utoto wako wewe. Ndio alikwambia hivyo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…