Sugu ameonesha ulimbukeni mkubwa sana kusema kuwa ameweka rekodi ya Dunia ya Muandamanaji aliyevaa vito vya thamani zaidi katika maandamano

Mzapungufu ya kutokuwa na kisomo yana namna ya kujitokeza
 
 

Sugu anaweza kutoa kidole cha kati bungeni, ujue ndio mwisho wa uwezo wake kufikiri. Anaweza kunya hadharani!
 
Nimesoma kidogo nikarudi juu kuangalia ni nani mwandishi, aisee kumbe ni wewe. Hahahaahahaha dah kweli kila mtu anajua mwenyewe jinsi ya kuleta mkate mezani. Ila njia yako inabidi uwe kama umehama kambi
 
lisu kazingua ila binafs nashida sana na mtoa mada nionaga tu jina lake sisimo kabisa uzi
 
Ungekuwa humpendi kiongozi aina ya sugu ungeanza na uzi wa yule anayemkatalia Elon Musk kufunga mitambo yake ya Starlink bongo. Yule anaetukana mitandaoni hovyo.
 
Sugu has no class!
Muhuni wa mitaani, hajapevuka kiakili na wala hana ustaarabu au makuzi bora.

..Ndugai alikuwa hatendi haki kwa wabunge wa upinzani.

..Na chanzo cha Sugu kutukana ni uonevu aliofanyiwa na uongozi wa bunge.

..Unachofanya wewe ni kukemea reaction ya Sugu bila kuangalia mazingira yaliyomsukuma kufanya alichokifanya.
 
..kwa uhuni aliotendewa bungeni, Sugu yuko sahihi kuwatukana watesi wake waliokuwa wakiongoza bunge.
Kwenda zako huko.ndio maana nikasema huyo sugu ni mhuni mhuni tu .ndio maana Mbeya alifurushwa na Makopo yake maana jiji haliwezi kuongozwa na mhuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…