akianza kujibu kila anaemkashifu...atapata muda wa kufanya ya maana?
Mh Joseph Osmond Mbilinyi ambaye ni mbunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania amemjibu ndugu mwita mmoja wa users wa hii blog ambaye amekuwa akimkashfu mara kwa mara hapa.Sugu kupitia albam mpya antivirus vol2 wimbo namba 19.
WHAT MORE I CAN SAY!
Mkuu, tukumbuke Sugu ni msanii wa Hip Hop.....whatever that means kwa wabongo, lakini moja kati ya vitu ambavyo hawa waumini wa huu mziki wanachofanya ni kwamba, you dont let people step on your 500 Dollar shoes and walk away without a punch on the groins. SIMPLE.akianza kujibu kila anaemkashifu...atapata muda wa kufanya ya maana?
Mkuu, tukumbuke Sugu ni msanii wa Hip Hop.....whatever that means kwa wabongo, lakini moja kati ya vitu ambavyo hawa waumini wa huu mziki wanachofanya ni kwamba, you dont let people step on your 500 Dollar shoes and walk away without a punch on the groins. SIMPLE.
You hate me, I hit back. that is the rule.
Sishangai kama Sugu ataendelea kuwachana haters wake.
<br />hata kama ni msanii wa taarab<br />
sasa hivi yeye sio mtu huru<br />
yeye ni mtumishi wa jimbo la mbeya mjini<br />
je watu wa mbeya mjini wamemtuma kujibishana na wanaomkashifu?????
lakini mziki si ndio ulivyo? u sing abt whatever u want na wateja wako walewale watakusikiliza! mnataka aimbe siasa kwa vile ni mbunge? senator schwaznigger aliacha kuigiza movies alipoingia kwenye siasa? mbona wakina mlata bado wanaimba nyimbo za injili ilhali waliompigia kura ni waumini wa dini zote?
akianza kujibu kila anaemkashifu...atapata muda wa kufanya ya maana?
usije fanya tukapewa ban kwa kuongea mengine hapa..
hivi martha mlata ana jimbo?
yeye si mbunge maalum wa ccm na ana vigogo wanaomlinda for who knows what?????
sugu ana jimbo,tena anatoka upinzani....
anything can be used against him....
hatusemi asiimbe,but priorities zake ni zipi?
Kwani waliyomtuma ameshindwa kuyafanya? Anaweza kufanya yote.hata kama ni msanii wa taarab
sasa hivi yeye sio mtu huru
yeye ni mtumishi wa jimbo la mbeya mjini
je watu wa mbeya mjini wamemtuma kujibishana na wanaomkashifu?????