Sugu amjibu Mwita........

Jamani poleni. Kutokana na hali ya kiuchumi na ugumu wa maisha watanzania wengi ni wagonjwa na wengine wamejiingiza ktk matumizi ya madawa hatari kikubwa wanahitaji msaada wa kisaikolojia.
Mwita unaumwa tafuta tiba najua ni vigumu kuikubali hali halisi. Msh mbunge amejifanyia kazi yake anapendwa na wananchi wake huko Mbeya sasa wewee kanda ya ziwa na kipato chako unachokisifia na mission unayoiplan vinatia mashaka kuhsu afya yako.
Nakutakia tiba njema. We ve competent Drs u will soon get well.

Sugu ni another Flop katika TZN politics ..... the guy ni kama galasa la chadema.. sidhani kama watu wa mbeya watafanya makosa tena 2015 kumpa ubunge....

Sugu ni mhuni tu mvaa mlegezo kata k aka kunja mkia

Sugu ni another Flop katika TZN politics ..... the guy ni kama galasa la chadema.. sidhani kama watu wa mbeya watafanya makosa tena 2015 kumpa ubunge....
Nadhani wewe si mpiga kura wa Mbeya, angalia mbunge wako anachofanya kwanza...

Sasa na wewe itabidi utoe album, wanasema dawa ya moto ni moto. Ila ya kwako iitwe MUTATED VIRUS...

huo wimbo unaitwa "muziki huu", hakuna matusi humo ndani. Humo Ruge anaulizwa kuhusu studio na dhuluma nyingine.

mbona Komba bado anaimba au ni wabunge wa upinzani tu ndo hawaruhusiwi

mbona Komba bado anaimba au ni wabunge wa upinzani tu ndo hawaruhusiwi

Komba haimbi matusi kama bw*g* lenu Sugu. Yaani wewe unafanisha weledi wa Komba na huyo mla unga?

Katika vitu ambavyo sipendi ni wanaume ambao wana tabia za kujipendekeza kwa wanaume wenzao. Nina uhakika 100% huyu mbunge hata hajawahi kukusikia achilia mbali kukufahamu ss iweje awe na bifu na ww? Jamani haya mambo yanaumiza akili sana! au we ni Rambuza? Kuhusu suala la Pato lako halitusaidii kitu wala kama una kipato kikubwa hakuna haja ya kujilinganisha na mtu. Acha U..NGE dogo next time tutaku..... malizia mwenyewe!!!!

Komba haimbi matusi kama bw*g* lenu Sugu. Yaani wewe unafanisha weledi wa Komba na huyo mla unga?

wanasema chuki ikizidi inaleta husda..we jamaa unamkubali sana Mh Sugu sema wivu tu juu ya mafanikio yake ndio unakutesa..naona unafatilia ata kila hatua na jambo analofanya,sioni ukifanya ivyo kwa wabunge wengine,izo ni dalili tosha anakitu spesho na jinsi gan unamkubali..nakutakia maigizo mema!

ajifunze kuwa na roho ngumu ya kupuuza baadhi ya mambo,kwa mfano sugu kuhangaika na huyu bwana mdogo mwita ni kujivunjia heshima,ashughulike na mambo ya muhimu mkuu,2015 jimbo litaondoka lile

Sifa ya mwanasiasa yeyote ni uvumilivu/usitahilivu. Dogo inabidi mara zote achukulie kama changamoto kwake, ukizingatia kazi iliyombele yake ni ngumu inataka busara zaidi, na pia nashauri kuachana na kuendesha kazi yake kwa misingi ile ile ya kikampeni kampeni, bali atulize boli chini na kusonga mbele kushughulikia matatizo ya wananchi. ikiwa ni pamoja na kushea mawazo na viongozi wenzake kwa maslahi ya mbeya kwanza na si cdm wala ccm.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…