Sugu Ananukisha Arusha Live Leo!

Mchaka Mchaka

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2010
Posts
4,517
Reaction score
1,407
Pamoja na vinega. Woooote!
Mbowe na zitto na Lema watakuwa miongoni mwa ma-audience
Watu wa Arusha tunafurika kwa wingi sana viwanja vya Tripple A.
 
Pamoja sana naona nimepishana na gari la raha duuu!!
Ok, tunawategemea kwa updates huko...!
 
Nipo maeneo ya Atown, lazma nitahudhuria aisee.
 
show za arusha nna bahati nazo mbaya!wanangu arsenal baada ya kuchezea kichapo nikaseme nikakeshe tripple A leo nirudi kwetu!!!dah ilinichukua dakika kumi tu mule ndani siyo dharau ila masela watupu japo mimi siyo tozi lakini nilijiona tozi!advertise ilianzia getini!kiingilio buku 5 nikakutana na msela anataka nimuongezee buku 4 kwa maana hiyo yeye ana buku tu!humo ndani sasa!watu wachache halafu hamna hata warembo!masela watupu
 
jinaa lako 2 lina onyeshaa mtazamo wako...mbonaa maduu walikuwepo,au unataka maduu wasio maliza chips na soda,alafu kama ulifata maduu umechemkaa pale wale ni vinegaaa ma men na maduu ni ngumu nyeusiii muuza nyagoooo umenisomaa arifu,no hard feeling lakini...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…