Sugu atofautishe kukamatwa na kutekwa, kwenye zuio la maandano ya BAVICHA alikamatwa sio kutekwa!

Sugu atofautishe kukamatwa na kutekwa, kwenye zuio la maandano ya BAVICHA alikamatwa sio kutekwa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Amesema Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa mh Joseph Mbilinyi aka Sugu kuwa alitekwa na Polisi na kutelekezwa jijini DSM ambako siyo nyumbani kwake tena bila kutibiwa

Pia soma:

Screenshot_20240818_112604_X.jpg

Sugu amelalamika Ukurasani X

My take; Sugu atofautishe Kukamatwa na Kutekwa.

Nawatakia Dominica Njema. 😄😄
 
Unatekwa hapa na kupelekwa sehemu nyingine. Kesho yake ndugu zako wakiuliza wanaambiwa hatunaye katika selo zetu. Linganisha na unakamatwa hapa na kusweka lupango hapa hapa na kesho yake ndugu zako wanakuona katika selo zao hapa hapa.
Anabahati wakati wa sekeseke macho yalikuwa mengi na taarifa zilisambaa kwa haraka. Pia ni mtu maarufu

Imagine angekuwa si maarufu?
 
Kilichofanyika Kwa macho ya kawaida hakikuwa sawa na Sugu alionewa, shida ya Tanzania ukiangalia jambo kwa jicho la kawaida utaona meengi sana lakini gizani pia kuna mengi saana.
 
Bila kuchapana na kuuwana, hatutaheshimiana. TULIAMSHE DUDE.
Tatizo wa Tz wazuri mno wa hamasa za nyuma ya keyboard, kwenye action sasa kila mmoja anajificha uvunguni mwa kitanda.

Na kwa kujua hili kina Hangaya wanatufanya watakavyo. Wanajua tutabwata mtandaoni, kesho Diamond akipost kumtia dole Zuchu mjadala unahama fasta.

Watanzania mpaka pale tutakapotambua kuwa mateso ya mmoja ni mateso ya wote, hapo tu ndio hawa mbwa koko akili zitawakaa sawa.
 
Amesema Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa mh Joseph Mbilinyi aka Sugu kuwa alitekwa na Polisi na kutelekezwa jijini DSM ambako siyo nyumbani kwake tena bila kutibiwa

Sugu amelalamika Ukurasani X

My take; Sugu atofautishe Kukamatwa na Kutekwa

Nawatakia Dominica Njema 😄😄
Aliyekamatwa hupelekwa polisi au mahakamani ALITEKWA.
 
Amesema Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa mh Joseph Mbilinyi aka Sugu kuwa alitekwa na Polisi na kutelekezwa jijini DSM ambako siyo nyumbani kwake tena bila kutibiwa

Sugu amelalamika Ukurasani X

My take; Sugu atofautishe Kukamatwa na Kutekwa

Nawatakia Dominica Njema 😄😄
Zako zinakuambiaje? Alitekwa au alikamatwa?
 
Amesema Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa mh Joseph Mbilinyi aka Sugu kuwa alitekwa na Polisi na kutelekezwa jijini DSM ambako siyo nyumbani kwake tena bila kutibiwa

Sugu amelalamika Ukurasani X

My take; Sugu atofautishe Kukamatwa na Kutekwa

Nawatakia Dominica Njema 😄😄
Sugu amechagua neno zuri, alitekwa, ukamataji una kanuni zake ambazo zote hazikufuatwa. Sugu alitekwa ,aliteswa na kuumizwa sana kisha akatelekezwa Dar ambako siyo nyumbani kwake.
 
Anabahati wakati wa sekeseke macho yalikuwa mengi na taarifa zilisambaa kwa haraka. Pia ni mtu maarufu

Imagine angekuwa si maarufu?
Angeuliwa na kwenda kutupwa hifadhi ya Katavi ili aliwe na fisi kupoteza ushahidi kama walivyofanya kwa Sativa
 
Back
Top Bottom