Kizimkazimkuu
JF-Expert Member
- Nov 8, 2007
- 337
- 240
...Greater thinker umechemka mbaya...'kidhungu' sio ishu wachina na hi ho ha wanawapiga bao waswahili weusi kama mkaa na kiswahili chenu hap kariakoo....wadosi longtime kitambo, 'chori chori' wanakula bata hapa hapa bongo....sisi lugha yetu ni kiswahili na ndio lugha pengine aliyotumia kuombea kura. Rudi tena tafuta angle nyingine umrushie tena madongocheki kidhungu cha mbunge hcho..hata mtoto wa form I ataongea kingereza kzur kuliko yeye
cheki kidhungu cha mbunge hcho..hata mtoto wa form I ataongea kingereza kzur kuliko yeye
kama akina DMX wanakuja kweli,nitaamini huyo ruge anawakandamiza kweli wananchi
sugu hana vision kama kiongozi yupo yupo tu sitashangaa kama hatachaguliwa tena second term.....
nataka kujua akina adili wana ishu gani mjini,nahisi njaa tu zinawasumbua kufuata mkumbo na kuingia kwenye beef lisilo na kichwa wala miguu la sugu na ruge....
sugu fa.la
ruge fa.la
adili fa.la
jestina fa.la
DMX fa.la
Mbunge mzima anatoa nyimbo za matusi anajiita mwanaharakati. Uanahakati gani wa kutukana.
Mbunge mzima anatoa nyimbo za matusi anajiita mwanaharakati. Uanahakati gani wa kutukana.
Kwani magamba huwa hayatukani aibu yenu wafu fm na mtakoma kumjua sugu aliwattia hasara mbeya nw dar hatuendi kwenye shoo yenu. antivirus with no apology
unapaswa ukapimwe akili, we unaenda kuangalia uzinduzi wa matusi.
Sugu hana vision, hao jama zake wote ni majobless wanafata mkumbo. Hawana jipya zaidi ya matusi.
Kuwa mwanaharakati sio matusi. Kuna watoto wanasikiliza, je wajifunze nini hapo. Shame on you Sugu and your fellow.
cheki kidhungu cha mbunge hcho..hata mtoto wa form I ataongea kingereza kzur kuliko yeye
kashangae feri shilingi inazama meli inaelea......