Sugu awapiga mkwara DMX and FABOLOUS..A WORLD OF CAUTION TO DMX & FABOLOUS

hujui nguvu ya tunguli nini wewe?
 
pambafu!! zako we mzee

Mbunge mzima anatoa nyimbo za matusi anajiita mwanaharakati. Uanahakati gani wa kutukana.


eti sugu anatukana, huyo DMX NA Fabilous wanaokuja nyimbo unazielewa?
au ndio nyie mnaoshangilia mkisikia PUT MOTHER**** HANDS IN THE AIR.....???
sugu hajatukana wanaongea maneno ya kiswahili sema kwa kuwa hamjazoea kuyasikia mwayaona ya ajabu
 

ktk msafara wa mamba kenge lazima mmwepo! mwambie mbunge kizungu kimegoma na kwa hilo amerekodi
 

si bure wewe.. umetoka t*wa leo.. kav kav.. afu hujalipwa
 
Sugu anataka bifu na DMX? Hawa Vinega wanachekesha kweli
 
kheee hiki kiingereza au kinyakyusa
 
...Wanachotaka mimi nipate tabu raha kidog tu chuki bila sababu,
Najua mama hili n'tali kabili, kwani najua jeuri dawa yake ni kiburi.

Wanasubiri waone sugu kachoka, ili wapate kucheka
watasubiri milele, watapanda watashuka

Pata picha sugu angekuwa kachoka, hakika historia ingekuwa imeshafutika
ma bwa'mdogo wangeongea...



jamaa kama alijuwa kitambo haters kibao...tazama track hiyo Mr. II aka Sugu Feat Stara - YouTube
 

Hii iliandikwa na Adili kwn status ya FB siku walipogundua DMX analetwa! 28-58 Over
 
Haa mbunge mzima we Mzee unatetea wanyonyaji ee?mi nawaunga mkono kwa sana na Anti virus volume zote 2 nazisikiliza.Tena uzuri alivyopata ubunge amekuwa na nguvu na wamefungua harakati nyingi mtandaoni tukianza kuweka wazi ubaya wa Ruge ingawa radio yao inafanya vizuri utasikitika.Mfano miaka ile jamaa alikuja navyombo vya muziki kutoka Marekani akafungua DEIWAKA productions wakamfanyia unyama mwaka jana tu alikuja kuzindua albamu akitokea Marekani jamaa wakahujumu uzinduzi kwa kutomfanyia promo ya kutosha acha wapambane kama nguvu nae keshapata.Mi naona ni vizuri aluta continua,
 
Wakuu mimi niko huku Serengeti ntapata wapi streamline ya VINEGA tuwe pamoja?:embarassed2:
 
..Sidhani kama kuna artist (wa bongo fleva ) anayeweza kujilinganisha na sugu kwa namna yeyote ile...lyricall jamaa has got tight lyrics...relating to everyday life and he delivers them in a very simple way. Hebu sikiliza hapa.....
Mr. 2 AKA SUGU-MCHAKA MCHAKA_OFFICIAL_VIDEO - YouTube


nina vijisenti kama vya balali, lakini mimi sio fisadi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…