Sugu baibai Mbeya Mjini? Ili Tulia aendelee na urais IPU anatakiwa asipoteze ubunge miaka mitatu

Jimbo linagawanywa Mkuu. Tulia anapewa la kwake na Sugu naye anapewa la kwake. Hivi ndivyo tunavyoishi Watanzania na mihimili yetu.

Ova
Ujinga mtupu, yani utadhani watoto vile wakililia pipi moja uivunje kuigawa wasilie!

Halafu tutegemee maendeleo? Never kwa akili zetu hizihizi, labda tupewe akili mpya.
 
Mbeya hoyee
Pwani mnajivunia nn?
Mbeya Kuna elimu,afya,chakula na diniπŸ™
 
Anayetaka kugombea hilo jimbo bora aache tu kuepusha Fedheha na Aibu maan kama naona kura zitakavyoibiwa huko.

Yan mpak ambao hata Hawana Kadi ya mpiga kura nao watapigishwa kura hewa ilimladi tu Apite ccm waridhike.
 
Ujinga mtupu, yani utadhani watoto vile wakililia pipi moja uivunje kuigawa wasilie!

Halafu tutegemee maendeleo? Never kwa akili zetu hizihizi, labda tupewe akili mpya.
Mhimili wa Bunge huwa naona kama vile ni unaodeka sana kwa serikali, kwa kuwa serikali nao unaudekeza kwa unautegemea uipitishie mambo yake hata kama hayako sawa.

Ova
 
Kama una akili timamu huwezi mchagua Sugu.
 
cha msingi kila mtu apate keki wote ni wa mama
 
Jambo la pili spika hawezi kushindwa ubunge hasa spika wa bunge la Tanzania haijawai na haitaruhusiwa kutokea.Sina Mengi ni hayo TU.
Hamna kitu kama hicho mbona Ndugai kamvimbia Rais kidogo tu kaondolewa, same to Pandu Ameir Kificho kule zanzibar na Samuel Sitta 2010!! Maspika hawana nguvu hii Tanzania, wao kuendelea kukalia hicho kiti inategemeana na matakwa ya Rais!
 
Tulia alishajua moto wa sugu na aliyemuweka kwa kura za maruhani ameshadanja ndio akaomba uchaguzi ujao jimbo ligawanywe
 
Weka record vizuri mbunge aliyechaguliwa Kwa kura nyingi 2015 ni Gibson Olemaseyeki alikuwa MB wa ARUMERU Magharibi
Embu wekeni rekodi sawa mbona siku zote tunajua sugu ndio mbunge aliyepata kura nyingi kuliko mbunge yeyote tz?
 
Umesahau kwamba Yule Mbunge wa Shinyanga Steven Masele alikua Rais wa Bunge la Africa na alitemwa ubunge Mwaka 2015?
Watu mnasahau mapema sana
Ule uchaguzi ulitia fora, kule pemba CCM ilishinda viti vyote kwa mara ya kwanza.
 
Watu wa mbeya inatuhusu nini IPU sisi tunamtaka Sugu mambe mengine mtajua wenyewe.
 
Huyu Tulia ni mweupe sana Mbeya. Hakuna Mnyakyusa anayekubali kutawaliwa na wanawake. Huyu ni mbunge wa Magu kama alivyo Nepi, n.k
 
Hongera zake.
Hata kama akikosa ubunge wa Jimbo, atapata viti maalum.
 

Sugu zama zake zimeenda.
πŸ™‚ πŸ˜› πŸ˜€
 
Huyu Tulia ni mweupe sana Mbeya. Hakuna Mnyakyusa anayekubali kutawaliwa na wanawake. Huyu ni mbunge wa Magu kama alivyo Nepi, n.k

Wewe ni nani kakupa mamlaka ya kuwasemea wanyakyosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…