Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini ambaye ni Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyassa Joseph Mbilinyi (Sugu) amesema kwa sasa CCM kimepoteza mvuto kwa sababu kimeshindwa kufikia matarajio ya wananchi wa Tanzania na ushawishi wake umeshuka.
Sugu ameyasema hayo alipokuwa akihutubia wananchi wa jimbo la Kyela mkoani Mbeya wakati wa kuwanadi wagombea wa nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa serikali za mitaa.
Hahaha. Wanakwambia wapinzani hawana ilani. Kesho wanawakamata wakiwa kwenye kampeni. Sasa si uwaache wananchi waamue kwenye sanduku la kura?
Mtu hana ilani ya uchaguzi unamwekea pingamizi la nini?
Hahaha. Wanakwambia wapinzani hawana ilani. Kesho wanawakamata wakiwa kwenye kampeni. Sasa si uwaache wananchi waamue kwenye sanduku la kura?
Mtu hana ilani ya uchaguzi unamwekea pingamizi la nini?