Sugu kataja ubilionea wake! Wengine igeni mfano!

jamani daaa nami najua siku nitakuwa bilionea tu nijitangaze jf
 
Kwahiyo inamaana unataka kuniambia mo dewj au rostam walifuata zile milion 12 bungeni?
Hao watu ni wabunge sasa hivi?

Na kumbuka hao ubunge walipiga chini wenyewe sio sugu aliyeporwa uchaguzi analialia tu....
 
Kama bilionea bungeni anafata nini?
Duuh,mkuu ebu soma vitabu hata upanue akili kidogo,maana unatia aibu,hivi ujui cheo dhamana??kwa cheo chake hicho cha ubunge popote anadhaminika akihitaji mkopo anapata bila hata masharti,viongozi matajiri wanahitajika maana hata vikero vidogo wanamaliza wenyewe
 
Ingekuwa vinzuri ungetuwekea hapa na makadirio ya ukwasi wao inaonekana mchambuzi mnzuri wamambo ya watu
 
Donald Trump ni Moja ya mabilionea aliyetaka kuwa Rais na akawa Raisi wa Taifa kubwa ana akakataa hata kuchukua mshahara aliitaka Ile nafasi ili kupush agenda anazozisimamia na kuziamini.
 
Hoja ni sugu sio bilionea na hayupo(namkubali kazi zake ) ......tukabiliane hilo kwnza
 
Donald Trump ni Moja ya mabilionea aliyetaka kuwa Rais na akawa Raisi wa Taifa kubwa ana akakataa hata kuchukua mshahara aliitaka Ile nafasi ili kupush agenda anazozisimamia na kuziamini.
Unalinganisha mambo ya dunia ya kwanza na dunia ya tatu.........

Badae mtakuja mtasema mwigulu nchemba naye bilionea.
 
Unalinganisha mambo ya dunia ya kwanza na dunia ya tatu.........

Badae mtakuja mtasema mwigulu nchemba naye bilionea.
Kwani bilionea wa ulaya na bilionea wa Africa wanapimwa nanani kuwa mabilionea??U kipimo kipi kinatumika kuwapima
 
Unalinganisha mambo ya dunia ya kwanza na dunia ya tatu.........

Badae mtakuja mtasema mwigulu nchemba naye bilionea.
Inawezekana huyo mwigulu akaja kuwa billionea wa kwanza katika historia ya mawaziri kinashindikana nini? Fungua akili yako jombaa mbona umelala sana aisee.Unatoka bush la wapi hata huko vijijini watu siku hizi wajanja.
Unataka kulinganisha na wapi sasa? Maana hata huko majuu nako ni duniani na Kuna watu kama huku Africa shida Iko wapi? Naona shida Iko kwenye uelewa wako,ni finyu pole sana.
 
Labda tupo dunia nyingine
 
Kwani bilionea wa ulaya na bilionea wa Africa wanapimwa nanani kuwa mabilionea??U kipimo kipi kinatumika kuwapima
Huyo jamaa ana mavi kwenye ubongo. Ana uelewa finyu. Mbona HH wa Zambia kaingia madarakani akiwa ni bilionea na nchi iko fresh kabia kiuongozi huku wananchi wakifurahia.
 
Hao watu ni wabunge sasa hivi?

Na kumbuka hao ubunge walipiga chini wenyewe sio sugu aliyeporwa uchaguzi analialia tu....
Una kichwa kigumu kuelewa nimekuuliza wakati rostam na modewj ni wabunge inamaana walifuata mshahara bungeni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…