sugu ku launch kinywaji chake

sugu ku launch kinywaji chake

C.T.U

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2011
Posts
5,074
Reaction score
3,743
sugu amesema kuwa ana mpango wa launch kinywaji chake
akiongea kupitia kurasa zake za facebook sugu anasema


.im quitting konyagi soon...coz im about to launch my own drink...!!!
 
Safi sana sugu moto chini ntala lala lalaaaaaaaaa ni moto chini.
 
Wazo zuri,ndo mambo yanayotakiwa kufanywa na vijana wa kileo ayo...ila ahakikishe alcohol inakuwa ya kutosha maana izi nyagi sku izi tumekuwa atulewi wengne.
 
Ubunge umemtoa huyu! !!!!!!sasa hiv ni bata tu lol ubunge dilii walah
 
Back
Top Bottom