Sugu kufanya mkutano wa kuwashukuru wapiga kura wake tarehe 28/06/2020

Tusubiri kusikia mkutano huo umezuiwa kutokana na taarifa za "kiintelijensia"
 
Aage Wananchi, ampishe dada msomi
Msomi asitetea wananchi bali anatetea serikali Bungeni hatufai.Bora hata alieishia darasa la nne mradi tu anaweza kutetea wananchi kuliko msomi asiejua wajibu wa Mbunge ni nini awapo Bungeni.
 
Ni bora anayetea serkali kuliko Chadema inayotetea mafisadi, wauza madawa ya kulevya na Mabeberu kupora raslimali zetu
Msomi asitetea wananchi bali anatetea serikali Bungeni hatufai.Bora hata alieishia darasa la nne mradi tu anaweza kutetea wananchi kuliko msomi asiejua wajibu wa Mbunge ni nini awapo Bungeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…