Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,219
- 4,608
Hana mpinzaniMpinzani wa Sugu kwenye uchaguzi mkuu atakuwa nani?
Hana mpinzani
Mpinzani wake mkuu atakuwa Mh. Mpesya (CCM) mbunge anayemaliza muda wake ambaye ndo kapita katika kura za maoni ndani ya CCM!!
Ebana huyu jamaa (Sugu) ukipata bahati ya kumsikiliza, anaongea vitu vya msingi sana.
Amebadilika sana.
Kama kweli akishinda atalete chalenji sana bungeni.
Ila angekuwa nagombea Dar sijui ingekuwaje kwani ile redio nanihii hawampendi. wangemfanyia fitna.
Sugu will do it.......Why not.....Jamaa kabadilika sana, ila kuna swali bado najiuliza, wabunge wengi ni wafanyabiashara na hata baada ya kupata uheshimiwa waliendelea na biashara zao, sasa Moto chini sijui itakua vp??? Ataendelea kushika kipaza hata baada ya Kuukwaa uheshimiwa???
All the best Sugu.....NI CHADEMA tu 2010