Sugu:mpambanaji anaeteswa na makundi ya wasanii na chuki binafsi

Sugu:mpambanaji anaeteswa na makundi ya wasanii na chuki binafsi

mwakichi

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2011
Posts
417
Reaction score
97
Juzi tar 26 pale ustawi kamanda sugu alikinukisha mbaya kbsa na vijana kwa ujumla tulijitokeza cna katika kumpa kampani ya kunyanyua soko la bongo..lkn kilichoniuma ni kua wale nliowategemea wangekua bega kwa bega na kamanda waliasi mapema..mfano juma kiroboto kassim au juma nature,jmo..mchiz mox..gangwe hawa wote ni watu walioteswa sana na wadau wa mziki..
hili lilitosha sana kuonyesha kua wasanii wa bongo hawana umoja wala hawataki mapinduzi ktk bongo industry..lkn pamoja na yote kuna wasanii wapo katika vinega kama kulipiza kisas kwa watu flan flaan..
Juzi jumamosi kabla ya shoo nlipita katik wall ya soggy doggy nkakuta taarifa kamili ya mpango mzima wa shoo lkn kilichinikera ni kujifanya yy anauchungu saana hata kuliko wahusika wengine kwa kuporomosha matusi kwa watu hadharani
Mfano:
Alielezea story yake ya yy kutoka RFA ya mwanza na kuja Dar kua ni mpango wake na Ruge lkn alivyofika Dar Ruge alimwambia aendelee na mzik tuu kwan tayar ana wafanyakaz wa kutosha..Kitendo hiki c tuu cha kingwana bali ni unyama aliofanyiwa na Ruge..sasa naona kapata mahali pa kueleezea historia yake na kutukana wote wanaofanya kazi chin ya RUGE yaani CLOUDS..

USHAURI WANGU KWA SUGU:
1.Fanya hizi harakati na usizihusishe na siasa
2.Wape somo wasanii wenzio wote kuhusu mikataba,na mambo yote ya msingi yanayomnufaisha msanii wa hapa nchini
3.Thaman ya ngasa na Ronaldo haziwez lingana hivyo basi acha kutaka msanii wa kimataifa alipwe sawa na kitaifa.
4.Usiwape nafas watu wenye chuki binafs kama soggy katka harakati hizi
5.Jumuisha wasanii wote hata masharobaro ili wasijihis wapweke.
6.mkutane wadau wote wa sanaa ya mziki..yaan radio stations,producers,menejas na wasambazaji ili mtatue hili tatizo


NAKUTAKIA MAFANIKIO MEMA NA NTAKUPA USHIRIKIANO WANGU KTK HARAKATI HIZI
 
Nimekuelewa..mwakichi

na hayo maneno niliwahi kuuwaambia wapambe wake...
....Mbn wamechanganya siasa..hili ukilitazama kijuu juu..unaweza usilione..lkn kitendo cha kuwapandisha na uwepo pale baadhi ya viongozi wa cdm..ni ttz
...pili..mbn ni hip hop tu?hakuna hata bongo fleva ..a.k.a wabana pua?..au waho hawaoni hizo dhuluma?
...na je..malipo ya Sugu ni sawa na Mapacha..mpk tuseme kuwa wasanii wa nje na wa ndani walipwe sawa?
 
Polen sana kwa kazi ngumu ya kumuelewesha mtu asiyetaka kuelewa mapambano mema..
 
Kichwa kigumu ila macho Makubwa IWEJE HUELEWI
 
hii thrad kila mtu kaielewa kivyake.
Mi nimeelewa kuwa chochote anachokisema Ruge hakina ukweli ndani yake
 
Back
Top Bottom