Sugu, Mr. Blue & Dogo Hamidu (Nyandu) ni wasanii wa Bongo Hip Hop ambao hawajawahi ku-switch

Sugu, Mr. Blue & Dogo Hamidu (Nyandu) ni wasanii wa Bongo Hip Hop ambao hawajawahi ku-switch

Kiplayer

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2018
Posts
1,180
Reaction score
1,964
Miongoni mwa Wasanii wa bongo hip-hop ambao wamesimama kwenye misingi waliyoanza nayo katika content na style ni hao niliowataja pia NIKI MBISHI. Kwa maana nyingine wanaamini kile wanachokifanya. Wana INTEGRITY ya ukweli.
 
mr blue ameswitch mazima, blue alikuwa anaimba alafu alikuwa bishoo mlamba lips. baada ya kubond na nyandu ndo kajikuta hiphop mnyoa miparaa 😂😂😂

watoto wa 2002 awawezi kuelewa
 
Back
Top Bottom