Miongoni mwa Wasanii wa bongo hip-hop ambao wamesimama kwenye misingi waliyoanza nayo katika content na style ni hao niliowataja pia NIKI MBISHI. Kwa maana nyingine wanaamini kile wanachokifanya. Wana INTEGRITY ya ukweli.
Ila twende turudi 2 proud aka Mr 2 aka sugu anastahili HESHIMA kwenye suala Zima la kuishi MAISHA yake halisi. Jamaa Yuko REAL Hana forgery za MAISHA. Anaamini anachokiamini.
mr blue ameswitch mazima, blue alikuwa anaimba alafu alikuwa bishoo mlamba lips. baada ya kubond na nyandu ndo kajikuta hiphop mnyoa miparaa πππ