Kwenye maria hajaimba mkuu abby na kiba ndio wameimba mwana kachanaInanimaliza,roho zinawauma,kiss kiss,maria,sema, zote hiz kaimba
Kweli mkuu nilichapia kidogo..si unajua tena kvant hiziKwenye maria hajaimba mkuu abby na kiba ndio wameimba mwana kachana
Usimsahau jay wa mitulinga
Hakuna mtu mwenye mkataba na Mungu ndugu yangu. Unaweza kuondoka wewe na ukamwacha. Kabla hujafa hujaumbika. Futa kauli ndugu yanguJize hatopona