AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
Nimekuwa nikifatilia kwa karibu sana kuhusu harakati za sugu na vinega, Hizi harakati ziimekuwa zikiendeshwa na wasanii wa mziki wa kizazi kipya ktk kuprotest ukandamizaji unaofanywa na baadhi ya watu matajiri wanaowatumia vijana wanamziki kwa maslahi yao binafsi, so 1 ya harakati za sugu na vinega ilikuwa ni kudai studio iliyotolewa na Rais ambayo ilikuwa ikitumiwa na Ruge kwa maslahi binafsi, Lakini baada ya harakati za Sugu tayari dai hilo lilisikika na kutendewa kazi na sasa Ruge ashakubali kosa na studio itaanza na kufanya kazi pasipo upendeleo.
Pia harakati za sugu na vinega zilikuwa ni kudai haki miliki kwa wasanii ambalo bado halijatimizwa na serikali, Sasa ni wakti wako sugu kuendeleza harakti za kudai haki miliki ili wale watu wenye majungu ya kike especialy magamba walokuponda pale ulipofikia muafaka na Ruge na kukamilisha harakti za kwanza wajionee aibu, TUNASUBIRIA HARAKTI ZA PILI, usiogope go ................. SUGU.. go.....