Sugu ni Jiwe la MSINGI!

Mtu aliyepata FOUR form FOUR naye atakuwaje jiwe la msingi? Kweli dunia haiishi maajabu.
gues wewe una zaid ya hyo but hutapata hata ukokoto wa mcngi,mpeni heshma yake mtu,mapambano alopitia cdhan wew unaweza kujaribu hata chembe.wapo wenyeUPROFESOR but ni wehu

Mtu aliyepata FOUR form FOUR naye atakuwaje jiwe la msingi? Kweli dunia haiishi maajabu.

Kweli wewe unafikiria kwa masaburi,nani alikwambia waliofeli hawawezi kuwa nguzo katika jamii? Nyie ndo mnaofikiri mkipata G.P.A 4.9 ndo maisha umeyatoa!!! JIPANGE MWITA.....

Mtu aliyepata FOUR form FOUR naye atakuwaje jiwe la msingi? Kweli dunia haiishi maajabu.

Wewe ndio HOVYO KABISA! Unachojua wewe kuhusu kufanikiwa au kuwa jiwe ni yule tu aliyepata div. 1 katika hiyo form four yako?? Bob Marley alipata div. gani? Au leta hapa wale unaowaona ndio wanaostahili kuwa jiwe na elimu yao tuone. Wee **** kweli, haya tuambie Bill Gates alipata nini kwy hiyo form four yako?? kama kigezo ni form four??? **** kweli wewe!!

Mtu aliyepata FOUR form FOUR naye atakuwaje jiwe la msingi? Kweli dunia haiishi maajabu.

Wee Mwita25 inaonekana unafikiri kwa kutumia tumbo na wala siyo akili. Umeshajiuliza maisha ya maprofesa, ma DR., mainjinia, then uyalinganishe na waheshimiwa wabunge na mawaziri wetu na rais ambao wengi wao ni form four leaver au form six leavers? Je umeshajiuliza wafanyabiashara wenye pesa ndefu wana elimu gani? Wana mchango gani kwa jamii? Ukijibu maswali haya utakuwa umeelewa kuwa kichwani mwako kuna matope au funza wanaokufanya ushindwe kufikiri, ndo maana unaropoka ovyo ovyo. Kama una chuki zako binafsi na Sugu ishia huko huko au umetumwa na magamba? Imekula kwako.

Mtu aliyepata FOUR form FOUR naye atakuwaje jiwe la msingi? Kweli dunia haiishi maajabu.

JAMANI NIMEAMUA KUJITOLEA KUMPA TUITION YA BURE MWITA25:HEBU CHEKI HII, KAMA HUJUI ENGLISH POTELEA NA USHAMBA WAKO

Most 'First Class' students get technical seats, some become Doctors and some Engineers. The 'Second Class' pass, and then pass MBA, become Administrators,Directors and control the 'First Class'. The 'Third Class' pass, enter politics and become Ministers and control both. Last, but not the least, The 'Failures' join business and control all the above. Howz' that ? and where do you fall?

Mtu aliyepata FOUR form FOUR naye atakuwaje jiwe la msingi? Kweli dunia haiishi maajabu.

Ni kweli kabisa Mwita25 huyu jamaa kafeli sana ila nina swali dogo hivi m2 aliyepata div.2 kama wewe na kwenda chuo ukafaulu vizuri HALAFU BADO UNAENDELEA KUFIKIRIA KWA KUTUMIA MASABURI. Huoni kama sugu ana unafuu kwa wananchi wake Taifa kwa ujumla? Pamoja na div.4 yake?

Mtu aliyepata FOUR form FOUR naye atakuwaje jiwe la msingi? Kweli dunia haiishi maajabu.

Ni kawaida ya watu kuwa negative kwa mafaninio ya fulani kwa kubeza elimu yake,mtu kupata division four siyo mwisho wa kufanya vizuri katika nyanja nyingine na wala hatuwezi kumpima mtu kwa kutoshinda vizuri darasani,wapo wengi na kwa mfumo wa sasa wengi hawatakuwa na uwezo wa kwenda mbele kielimu kutokana gharama za elimu kubebwa na wazazi ambao wengi hawawezi,hii italeta mdololo wa mwanafunzi kujibidiisha darasani ili afaulu vizuri,pia tukumbuke kufaulu vizuri kwa mhitimu wa kidatu cha nne kuna vitu vingi vikawa sababu na wengi hatuvijui tunachojua sana ni kukosekena kwa walimu ndicho kilio kikubwa sana kwa sasa mengine utaona yameegemea sana katika jamii yenyewe.
Kwa upande wa SUGU kwangu mimi he have special in his mind,anaakili ya kutafuta hivyo kupata division four na kwa jinsi alivyo sasa ni kwamba kichwa chake ni kizuri na sijui nini kilimpata wakati anamaliza form four,kuna watu hawakufika kabisa hapo alipofika Sugu na wanafanya vizuri sana katika mambo yao ya kiuchumi utadhani jamaa ni PHD na kuna PHD wabovu sana mbaka unawaonea huruma,hivyo nakuomba kauli yako hapo juu isikusute wewe maana inawezekana kabisa wewe umebukua sana madesa lakini humfikii Sugu hata kidogo,kilichobakia kwako mimi nimesoma basi lakini hueleweki kama umesoma,tusihukumu mtu kwa ajili ya kisomo wazazi wengi wameshindwa kuwapeleka watoto wao shule.

Mtu aliyepata FOUR form FOUR naye atakuwaje jiwe la msingi? Kweli dunia haiishi maajabu.
Wewe uliyepata "wani" umefanya nini hasa cha kujivunia, hata kwa familia yako tu? Zaidi ya kuwauza bibi na babu zako ukikesha kujibu mapigo ya watetezi wao. Ningekuwa Mungu, watu kama nyie msingezaliwa kabisa.

Usiende mbali sana, Muulize mwenyewe Mwita anadai alipata divisheni wani form four mbona haijamkomboa na anatumwa kazi pale Claudz maana inasemekana yupo upande wa TV matayalisho ya vipindi

Mbona yeye ana div1 lakini anatumwa kazi pale Cloudz utadhani mtoto mdogo na kimshahara cha chini ya M1,

Pumbavu we mwita'kwanza kabila tu "lishasema ushamba wako'

Usiende mbali sana, Muulize mwenyewe Mwita anadai alipata divisheni wani form four mbona haijamkomboa na anatumwa kazi pale Claudz maana inasemekana yupo upande wa TV matayalisho ya vipindi
hahahahahaa! Kenye tunasema kazi ya kuandikwa!
Yani ameandikwa, anaweza kufutwa!
Na division one yake ya form four, hahahahaa!

Mtu aliyepata FOUR form FOUR naye atakuwaje jiwe la msingi? Kweli dunia haiishi maajabu.
babu yako hakufika hata la nne lakini ni jiwe la msingi la baba yako na wewe, kuwa m2 mzima.

Huyu dogo mwita nadhani anafanyiwa kale kagemu kama elton john.haiwezekani kila siku yy ni opposite tu ht kwenye issue ambazo ziko wazi.

Mtu aliyepata FOUR form FOUR naye atakuwaje jiwe la msingi? Kweli dunia haiishi maajabu.

Most successful personalities in Silcon valley are college dropouts,so what the **** are you? Hivi kati ya prof Kapuya na Sugu who can inspire the people?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…