Sugu ni Jiwe la MSINGI!

jiwe la msingi lipo kwa kila kundi kwani kwa vilaza sugu ni strong base yao. lakini kinyume na hapo samahanini na mtuwie radhi, tunajuta kipofu kushika taa na kuwaongoza wenye macho
 
Mwita 25 umewaaibisha wanawake wenzio waombe radhi.
 
sugu aliaanza kurap kabla ya fm
sugu ni kama mvua na huwezi zuia mvua
 
promo, wizi mbona hamzungumzi yaliyo ya kweri.kuimba kaimba sugu kutajirika clouds achenikutetea ujinga.ccm hawako hivyo
 
Sugu kuna kitu cha ukwel ambacha anapigania,ila hao maboya wakiongzwa na ruge hawaktak.tatzo n kwmba wasanii wote vlaza wapo ccm na hta haijitambui.**** them!,ruge kawaroga
 
Mtu aliyepata FOUR form FOUR naye atakuwaje jiwe la msingi? Kweli dunia haiishi maajabu.

We mwita 25 jamaa alikufanyia mamako, mkeo au dadko nini? Au alikuingilia kipopobawa nini mkuu?
 
<br />
<br />
As a man of great probity, and for the sake of JF status, I have to refrain myself from using any billingsgate in return.

Kama na wewe huwa unajiaminisha kwamba quality ya mindset yako intokana na kufaulu kwako vizuri form four,
basi sintarudia kufikilia kwamba hiyo ni sababu ya quality ya mind yangu tena asilani.
.
 
Kweli jeuri dawa yake ni KIBURI...

Nami ntabaki mbishi mpaka nilione KABURI...

Wako wapi walionicheka Shuleni NILIPOFELI...

Pilika zangu mtaani zimenifikisha mbali...

Tisini na tatu niko BODA naitafuta SOUTH AFRICA...

Leo kila ninapotaka naenda zangu AMERICA...

Ndivyo Maisha yanavyoweza kuChange...

Leo niko na VERANO kesho VX au RANGE...

Na bado nikiwa BAR nadai change...

Pata picha SUGU angekuwa kashachoka...

Hakika HISTORIA ingekuwa imeshafutika...

MABWAMDOGO wangeongea kuhusu GAME wanavyotaka...

Ningetoweka kama wastaafu wa SOKA...

Kumbuka niliacha FANI wakasema wananiMISS...

Nimerudi kwa kishindo wengine wanapata STRESS...

Wanabaki tu wanasema, na, mi nasema waseme watakavyosema...

Kwani watasema MCHANA na USIKU watalala...

Na wakiamka ASUBUHI mimi naendeleza BAKORA...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…