Sugu ni play boy??

Kuna watu humu wanabisha tu ili mradi wamebisha ila ukweli ni huyu jamaa ni player unless kama haumjui! vipi na yule mkewe wa Marekani??
 

Toa story zako za udaku humu.
 
Achakumtaka sugu kwanguvu hakupendi kauze kijiduka chako cha nguo makumbusho iliulipe mkopo wako pride usije filisiwa kijiduka chako.
 
anakuja kwako kaa mkao wa kuliwa
 

Sugu msanii na Faiza msanii ngoma droo..mnasemaje
 

Attachments

  • faiza tumbo.jpg
    47.8 KB · Views: 131
  • faiza tumbo2.jpg
    70.2 KB · Views: 137
  • faidha sigara.jpg
    37.6 KB · Views: 154
  • faiza ally3.jpg
    51.8 KB · Views: 146
Last edited by a moderator:
judy wewe una Ndenshau na yule mwenzake.
 

CCM FIKIRIENI NAMNA YA KUKIJENGA CHAMA CHENU,achaneni na uzushi ambao hauwasaidii kitu, na wala haumpunguzii Sugu chochote
 

CCM FIKIRIENI NAMNA YA KUKIJENGA CHAMA CHENU,achaneni na uzushi ambao hauwasaidii kitu, na wala haumpunguzii Sugu chochote
 
Kawaida tu mademu wenyewe si ndio wanambabaikia.
 
Mi nlijua una list ya kueleweka,ukikua utaacha ujinga mi mkaka niliyenae ni wa tano sasa je mi ni play girl,u need to be serious wachache wanabahati wa kwanza ndo mke au mume,
 
achane kuchafua majina ya watu bana the guy sijawah kumsikia huwez kuibua point to that extent kwa kweli.... au unamtaka??? me natoka nae sehemu moja i can do something for you
 
Ama kweli play boy,sasa kwa wengine ambao tumeshawapitia zaidi ya 200 na listi bado inaendelea tuitweje..??au kwa kuwa sisi sio mastaa,hebu muacheni Sugu awatumikie wananchi wake waliomchagua hana sifa hiyo unayotaka awe nayo ni wivu tu umekutawala..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…