Sugu ni play boy??

Heri ya sugu kazaa hajatupa chooni.................sugu gooooooooooooooooooo
 
jamani this is too personal issue tuacheni unafiki kabisa yaani naomba tu mleta mada uniambie kutoka moyoni hujatomb..a na zaidi ya mwanaume mmoja toka maishani mwako?? au ndio unachungulia maisha ya watu? hili linahusianaje na kuwawakilisha wananchi wake jimboni mwake na dr slaa kaingiaje hapa? kama sio udaku na wivu? nahisi kuna wivu ndani yake serious, Aliyemsafi na aanze kumtupia jiwe yule mwanamke mzinzi nani alisubutu kurusha jiwe? chezea kabisa watu mnayafanya usiku kwa sababu hayaonekani, mfano mungu akiamua kuwaumbua kwa kila mwanaume au mwanamke uliemto..a na aliyekuto..a jina litokee usoni hakika nyuso za watu zingekuwa ni full maandishi na hata ngozi yako hatuioni na sijui ungekuwa na maandishi mangapi? ebu tujadili vitu vya maana kuliko kufikiria vitu ambavyo havileti tija.
 

acha siasa..usitetee uzinzi..eti wanawake wawili tuu au tubandike hadi vile vitoto vya chuo!
 
Lazma lipo neno hapo c bure asee, mh upondaji huu cyo wa kawaida.
 
Ulitaka akugonge ww? embu peleka kule, umetumwa na magamba ww.
 
Judi wa Kishua mpelekee na ww week end akulegeze kabisa hapo Dom kesho kutwa
 
Last edited by a moderator:
Mnamuonea kamanda...na mtambi wote ule
 
Eti judi, hivi na sisi maustadh wenye wake wanne, ni ma play boy eh?
 
Jamani na sie wa uswahilini mkijua videmu kwa mantiki ya idadi tulivyobanjua si mtatunyang'anya haki ya kumiliki kifaa cha kiume? yaani mademu wawili tu mnapiga kelele wakati watu wana alphabet zote na nyingine zinarudia mara tano tano minus x!usi hesabu machangu wala wale wa one night stand!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…