Sugu, Ray C, Linah, Juakali, AY, Diamond - Walivyokuwa kabla hawajawa NYOTA

Sugu, Ray C, Linah, Juakali, AY, Diamond - Walivyokuwa kabla hawajawa NYOTA

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
752
Waswahili wanasema hata mbuyu ulianza kama mchicha.

Maisha mazuri waliyonayo mastaa hawa leo hii, hayakupatikana ndani ya siku,mwezi ama mwaka mmoja. Ni safari ndefu iliyokuwa na kila aina ya vikwazo na kukata tamaa.

Juhudi na vipaji vyao ndivyo vilivyowafanya leo hii wawe ‘soga za mjini’ na waonekane waking’aa.LAKINI TUSISAHAU KUWA BAADHI YAO WANAPENDEZA KWA KUJIUZA MITANDAONI


Hizi ni picha zinazowaonesha kabla hawajatoboa na kuwa nyota wa muziki.


1.Joseph Mbilinyi, mbunge wa Mbeya mjini na msanii wa Hip hop
sugu.jpg

2.Rehema Chalamila aka Ray C
ray-cc.jpg

3. Linah Sanga
Linah.jpg

4.Ambwene Yessaya aka AY
AY-BEFORE-AND-AFTER.jpg

5. Diamond
Diamond.jpg

6.Juacali na Nonini
Nonini-na-Juacali.jpg
 
Ges ray c hapo alikuwa bado bikra

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
yewooooooooo!!!!!!! mtoto Wema alikua mzuri huyu jamani.....!!mmemtoa..m'baa!! watu wabayaaa!!
WEMA kabla hajaanza kuchakachuliwa
 
Kweli mikorogo noumer! Wema was soooooo cute!!
 
Hii ni ishara ya kuwa usimjudge mwanaume for the time being wala msiangalie degree
 
Back
Top Bottom