Sugu, Ray C, Linah, Juakali, AY, Diamond - Walivyokuwa kabla hawajawa NYOTA

Jamani wema alikua kimwali cha haja sasa loh anaendea kuzeeka kabla ya umri wake kufikia wanaume mmezidi mume, mt, a, sana mkamchosha ndo mumepa nn sasa pelekeni barua ya posa na mahari mkatoe mumweke ndani loh

Makubwa.
 
Linah alianza kuzeeka kabla hajawa kijana.
Halafu huyu dada ni mshamba jamani! Halafu Hana appearence ya kicelebrity hata chembe! Tunamshukuru tu kwa kutuburudisha na nyimbo zake coz kuimba anajua but mwonekano 0
 
Wema alikuwa mzuri sana jamani sijui nani kamdanganya kutumia hayo ma Obagi:shut-mouth:
 
AY kalikua karasta flan halaf kama aliku kama anakula msuba....
 
Nimewah kuziona picha zake nyingine za kitambo. Kweli maisha ni safari ndefu.
 
Mleta Uzi umekosea hapo kwa Ray C ingetakiwa iwe hivi! Zamani picha ya kushoto na sasa picha ya kulia!
 
Daaht AY alikuwa kama muuza maji


Haaahaaaa....!!! alikuwa kachoka hadi meno yalikuwa makubwa yamechomoza mbele.....

Nonii hadi sina la kusema hata kufungua macho tatizo,
yaani njaaaa...!! Wasanii wengi background yao DHIKI YA KUFA MTU.....
ILA kwa Tz, KARIBU WOTE BAADA YA UMAARUFU HUJISAHAU NA KUANZA DHARAU THEN WANAANGUKA NA KUISHI VIBAYA MNO MNO....
 
Mmh aiseee, Diamond ana mdomo mpana jamani, hivi D chapati unakunja kweli?
 
Daaaa kweli pesa ni pesa tu na pesa tamuuuu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mtu ukiwa star bwana kila mtu atasema lake,utadhani wanawake wenu mabikira au hawajachakachuliwa kabla,au mnawaoa kabla hamja wachakachua kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…