Sugu: Sasa Dogo Abdul anakuwaje tishio kwa watawala? Napata shaka maana kuteka, kuumiza na kuua Watu siyo maamuzi ya Kitanzania

Sugu: Sasa Dogo Abdul anakuwaje tishio kwa watawala? Napata shaka maana kuteka, kuumiza na kuua Watu siyo maamuzi ya Kitanzania

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa Mh Joseph Mbilinyi aka Sugu ameshangaa Watawala wanamhofia nini Dogo Abdul Nondo

Sugu amesema ana wasiwasi na uraia wa Watekaji kwa sababu kuteka, Kuumiza na Kuuwa siyo maamuzi ya Kitanzania

Sugu amelia sana huko Ukurasani X

Kuhusu Abdul Nondo kudaiwa kutekwa, soma
Abdul Nondo amechukuliwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli

Sugu.PNG
 
Watekaji ni polisi kwa maagizo ya ccm. Sugu mbona anaongea kwa hofu, naye anaogopa kutekwa?
 
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa Mh Joseph Mbilinyi aka Sugu ameshangaa Watawala wanamhofia nini Dogo Abdul Nondo

Sugu amesema ana wasiwasi na uraia wa Watekaji kwa sababu kuteka, Kuumiza na Kuuwa siyo maamuzi ya Kitanzania

Sugu amelia sana huko Ukurasani X

Kuhusu Abdul Nondo kudaiwa kutekwa, soma Abdul Nondo amechukuliwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli

View attachment 3168086
epukeni kumendea wake za watu ikitokea umefumwa na kuumizwa, kisingizio ni siasa.

for sure huyu kijana can never, ever be a threat within any of the political circle in Tanzania.
I think social factor is the source of all these :pulpTRAVOLTA:
 
epukeni kumendea wakae za watu ikitokea umefumwa na kuumizwa, kisingizio ni siasa.

foru sure huyu kijana can never, ever be a threat within any of the political circle in Tanzania.
I think social factor is the source of all these :pulpTRAVOLTA:
The same to UVCCM Chairman Mh Kalinga? 🐼
 
Back
Top Bottom