johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wewe umelilia wapi ndugu?Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa Mh Joseph Mbilinyi aka Sugu ameshangaa Watawala wanamhofia nini Dogo Abdul Nondo
Sugu amesema ana wasiwasi na uraia wa Watekaji Kwa sababu Kuteka, Kuumiza na Kuuwa siyo maamuzi ya Kitanzania
Sugu amelia sana huko Ukurasani X
Labda kwenye UlanziππWewe umelilia wapi ndugu?
Afadhali Nilidhani wewe ndio umeokotwa Makongorosi πΌLabda kwenye Ulanziππ
Huyo ameahidiwa kufuatwa na karandinga jeusi na Magonjwa Mtambuka.Afadhali Nilidhani wewe ndio umeokotwa Makongorosi πΌ
Naona Makangarosi sasa WamefikiwaHuyo ameahidiwa kufuatwa na karandinga jeusi na Magonjwa Mtambuka.
Ingependeza zaidi π πAfadhali Nilidhani wewe ndio umeokotwa Makongorosi πΌ
Abduli sahivi yupo zake Dubai anakula pesa za wajinga wabaraKosa lake ni kumsema mama Adbul.
AmiiinNaona Makangarosi sasa Wamefikiwa
UsipomheshimuMama wa kambo mbaya sana!!
Ku ignore kabisa? πππAfadhali Nilidhani wewe ndio umeokotwa Makongorosi πΌ
Umeambiwa siyo maamuzi ya kitanzania πΌCCM wanaua mpaka vikongwe sembuse kijana
Hawezi sogea πAmeku
Ku ignore kabisa? πππ
epukeni kumendea wake za watu ikitokea umefumwa na kuumizwa, kisingizio ni siasa.Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa Mh Joseph Mbilinyi aka Sugu ameshangaa Watawala wanamhofia nini Dogo Abdul Nondo
Sugu amesema ana wasiwasi na uraia wa Watekaji kwa sababu kuteka, Kuumiza na Kuuwa siyo maamuzi ya Kitanzania
Sugu amelia sana huko Ukurasani X
Kuhusu Abdul Nondo kudaiwa kutekwa, soma Abdul Nondo amechukuliwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli
View attachment 3168086
The same to UVCCM Chairman Mh Kalinga? πΌepukeni kumendea wakae za watu ikitokea umefumwa na kuumizwa, kisingizio ni siasa.
foru sure huyu kijana can never, ever be a threat within any of the political circle in Tanzania.
I think social factor is the source of all these