Kachanchabuseta JF-Expert Member Joined Mar 8, 2010 Posts 7,264 Reaction score 678 Oct 23, 2010 #1 Namuona SUGU TBC lakini naona TBC wamchakachua mdahalo Wanakatakata SUGU akiwa anaongea
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,852 Oct 23, 2010 #2 who is Sugu?
hashycool JF-Expert Member Joined Oct 2, 2010 Posts 6,555 Reaction score 2,837 Oct 23, 2010 #3 Preta said: who is Sugu? Click to expand... one of the founders of bongo flavour,na sasa anagombea ubunge kupitia chadema mbeyaaaaaaa
Preta said: who is Sugu? Click to expand... one of the founders of bongo flavour,na sasa anagombea ubunge kupitia chadema mbeyaaaaaaa
Kachanchabuseta JF-Expert Member Joined Mar 8, 2010 Posts 7,264 Reaction score 678 Oct 23, 2010 Thread starter #4 Preta said: who is Sugu? Click to expand... Mgombea Ubunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi aka Mr II aka sugu Samahani preta
Preta said: who is Sugu? Click to expand... Mgombea Ubunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi aka Mr II aka sugu Samahani preta
Kigogo JF-Expert Member Joined Dec 14, 2007 Posts 20,508 Reaction score 6,183 Oct 23, 2010 #5 huyu si kawekwa ndani kwa uchochezi...haaaa TBC very low for you....mtahangaika sana mwaka huu na mamizigo yenu ya taka...wagombea hawachaguliki
huyu si kawekwa ndani kwa uchochezi...haaaa TBC very low for you....mtahangaika sana mwaka huu na mamizigo yenu ya taka...wagombea hawachaguliki
Bigirita Platinum Member Joined Feb 12, 2007 Posts 16,039 Reaction score 7,465 Oct 23, 2010 #6 nuru mpya kwa wana mbeya!
Mess JF-Expert Member Joined Mar 2, 2009 Posts 661 Reaction score 181 Oct 23, 2010 #7 mbona kaka naangalia iko poa tu na sugu anashusha mawe vizuri tu.
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,852 Oct 23, 2010 #8 King of Kings said: Mgombea Ubunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi aka Mr II aka sugu Samahani preta Click to expand... asante sana kwa kunifahamisha....sikujua kabla
King of Kings said: Mgombea Ubunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi aka Mr II aka sugu Samahani preta Click to expand... asante sana kwa kunifahamisha....sikujua kabla
Kachanchabuseta JF-Expert Member Joined Mar 8, 2010 Posts 7,264 Reaction score 678 Oct 23, 2010 Thread starter #9 Mess said: mbona kaka naangalia iko poa tu na sugu anashusha mawe vizuri tu. Click to expand... mkuu kama umesikiliza swali la mwasho la katiba SUGU alikuwa anaongea mara akakatika then wasikulizaji wakarudi wanapiga makofi hapakuwepo conection ya kuogea na wasikilizaji kupiga makofi kuna kitu SUGU kakiongea TBC WAKAKICAKACHUA
Mess said: mbona kaka naangalia iko poa tu na sugu anashusha mawe vizuri tu. Click to expand... mkuu kama umesikiliza swali la mwasho la katiba SUGU alikuwa anaongea mara akakatika then wasikulizaji wakarudi wanapiga makofi hapakuwepo conection ya kuogea na wasikilizaji kupiga makofi kuna kitu SUGU kakiongea TBC WAKAKICAKACHUA
Njowepo JF-Expert Member Joined Feb 26, 2008 Posts 9,710 Reaction score 2,240 Oct 23, 2010 #10 Angalau wasanii nao wapate mwakilishi