Unatuumiza Macho Mkuu.HATUFANYO CHOCHOTE KWA KUAMRISHWA NA POLEPOLE YAANI TUANENDEELEA NA MCHAKATO WA UCHAGUZI HAYO MANENO ANAYOTAKA KUYASEMA ASEME TU MANENO MATUPU HAYAWEZO KUTUVURUGA HATA SEKNDE MOJA YAANI ANAJISUMBUA TU MANGAPI YASHASEMWA NA HAYAJATUHARIBIA KITU HATA ASEMA TUNA KULA WATU BADO SIY NENO GUMU KWETU ASITAFUTE KUTISHA WATU HALAFU AJE AJISIFU KUWA MWAKA FULANI NILIZUIA UCHAGUZI MIMI PUMBAFU HUYO SLOWSLOW
The enemy of my enemy is MY FRIEND!Ccm ikitema uchafu ndugu zangu wanaokota. polepole aliongoza mbinu chafu ya kufunga mikutano ya vyama vya siasa kwa miaka 6 leo hii Chadema wanamuona Polepole wa maana kwao.
Gwajima alishindwa kiuongozi kwa kila namna akiwa mbunge wa kawe leo hii Gwajima ameonekan wa maana Kwa chadema.huu ni mwaka wa mwisho kwao.
Vipi kuhusu hoja zao?
Walitubu lini na wapi? Wamesamehewa na Sugu/mwenyekiti kanda ya nyasa au CHADEMA nzima ndo imewasamehe? Hiyo haki inayopiganiwa na Gwajima na Polepole inainufaisha vipi CHADEMA?
Yule mjinga mjinga anampongeza Kitila ila ingekuwa wengine angekosoaSugu amelelewa,
Amueleweshe na Lemma,
Amwambie kuwa kuukomboa nchi unahitaji makundi yote wakiwamo maadui watakaoasi mfumo na kuungana nawe.
Hao nyumbu ni zoazoa kila takataka ya CCM kwao ni dhahabu, walimzoa Lowassa na wapambe wake mwishowe wakarudi nyumbani, ila hao ni sisimizi huwezi ht kuhisi uwepo waoMwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu ameeleza kuridhishwa na kile alichokiita mchango wa viongozi wa zamani na wa sasa katika kutetea haki na masilahi ya Watanzania.
Sugu ameyasema hayo siku ya Jumatano akizungumza na wanahabari moja kwa moja kupitia televisheni mtandao ambapo amesisitiza kuwa ni wakati muafaka kwa Watanzania wa makundi mbalimbali kama vile wastaafu, vijana, wanawake, na wafanyakazi kuungana na kutoa maoni yao kwa ajili ya amani na maendeleo ya taifa.
Soma pia: Polepole: Nilishajiapiza baba yangu mzee Polepole ndiye Mtu wa mwisho kuonewa katika nchi hii
“Nichukue fursa hii kutambua kwa kazi kubwa ya Bishop Josephat Gwajima na Balozi Humphrey Polepole... hata kama kuna rekodi za kauli au matendo yao ya huko nyuma ambavyo hatukubaliani navyo, lakini wametubu, wanazungumza kwa niaba ya nchi, basi tunawasamehe kwa sasa ili tuunganishe sauti hizi za Watanzania wote katika kuhakikisha nchi hii inakaa sawa”, amesema Sugu.
Ndio maana hayo majinga yameitwa nyumbu.Ccm ikitema uchafu ndugu zangu wanaokota. polepole aliongoza mbinu chafu ya kufunga mikutano ya vyama vya siasa kwa miaka 6 leo hii Chadema wanamuona Polepole wa maana kwao.
Gwajima alishindwa kiuongozi kwa kila namna akiwa mbunge wa kawe leo hii Gwajima ameonekan wa maana Kwa chadema.huu ni mwaka wa mwisho kwao.
The enemy of my enemy is MY FRIEND!
Hao nyumbu ni zoazoa kila takataka ya CCM kwao ni dhahabu, walimzoa Lowassa na wapambe wake mwishowe wakarudi nyumbani, ila hao ni sisimizi huwezi ht kuhisi uwepo wao
Tunachokiangalia ni wanafanya nini kwa Sasa.Imeandikwa,"Ni heri mwisho wa jambo kuliko mwanzo"Mhubiri 7:8.Hata Mungu huangalia mwisho wako unakuwaje hapa duniani".Ccm ikitema uchafu ndugu zangu wanaokota. polepole aliongoza mbinu chafu ya kufunga mikutano ya vyama vya siasa kwa miaka 6 leo hii Chadema wanamuona Polepole wa maana kwao.
Gwajima alishindwa kiuongozi kwa kila namna akiwa mbunge wa kawe leo hii Gwajima ameonekan wa maana Kwa chadema.huu ni mwaka wa mwisho kwao.
Hawa Sasa ndio Wanasiasa harafu inakuta mpumbavu mmja fukara huko eti anawapigania badala ya kupigania familia yake 😂😂Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu ameeleza kuridhishwa na kile alichokiita mchango wa viongozi wa zamani na wa sasa katika kutetea haki na masilahi ya Watanzania.
Sugu ameyasema hayo siku ya Jumatano akizungumza na wanahabari moja kwa moja kupitia televisheni mtandao ambapo amesisitiza kuwa ni wakati muafaka kwa Watanzania wa makundi mbalimbali kama vile wastaafu, vijana, wanawake, na wafanyakazi kuungana na kutoa maoni yao kwa ajili ya amani na maendeleo ya taifa.
Soma pia: Polepole: Nilishajiapiza baba yangu mzee Polepole ndiye Mtu wa mwisho kuonewa katika nchi hii
“Nichukue fursa hii kutambua kwa kazi kubwa ya Bishop Josephat Gwajima na Balozi Humphrey Polepole... hata kama kuna rekodi za kauli au matendo yao ya huko nyuma ambavyo hatukubaliani navyo, lakini wametubu, wanazungumza kwa niaba ya nchi, basi tunawasamehe kwa sasa ili tuunganishe sauti hizi za Watanzania wote katika kuhakikisha nchi hii inakaa sawa”, amesema Sugu.
Adui aliyeasi ana faida kubwa vitani. Ni Polisi mjinga atakayemdharau jambazi sugu aliyelisha silaha Kwa Hiari.Ccm ikitema uchafu ndugu zangu wanaokota. polepole aliongoza mbinu chafu ya kufunga mikutano ya vyama vya siasa kwa miaka 6 leo hii Chadema wanamuona Polepole wa maana kwao.
Gwajima alishindwa kiuongozi kwa kila namna akiwa mbunge wa kawe leo hii Gwajima ameonekan wa maana Kwa chadema.huu ni mwaka wa mwisho kwao.
Kumbe na wewe imehamia CHAUMA? Mtaumia sana
Sisi tutamuunga mkono mtu yoyote atayekuwa kinyume na serikali ya CCM,hata Samia akigeuka Leo tutamsamehe.
Nyie endeleeni kuunga mkono CCM
Ccm ikitema uchafu ndugu zangu wanaokota. polepole aliongoza mbinu chafu ya kufunga mikutano ya vyama vya siasa kwa miaka 6 leo hii Chadema wanamuona Polepole wa maana kwao.
Gwajima alishindwa kiuongozi kwa kila namna akiwa mbunge wa kawe leo hii Gwajima ameonekan wa maana Kwa chadema.huu ni mwaka wa mwisho kwao.
Hawa Sasa ndio Wanasiasa harafu inakuta mpumbavu mmja fukara huko eti anawapigania badala ya kupigania familia yake 😂😂
Waliobaki chadema hawajui siasa na stadi za uongozi wamekosa kabisa.Sugu amelelewa,
Amueleweshe na Lemma,
Amwambie kuwa kuukomboa nchi unahitaji makundi yote wakiwamo maadui watakaoasi mfumo na kuungana nawe.