M mams JF-Expert Member Joined Jul 19, 2009 Posts 614 Reaction score 30 Nov 29, 2010 #21 Hawa hawako sawa hata kidogo. Umaarufu wa mr 11 hauwezi kufutwa na Kibonde hata kwa chembe. Kama Kibonde anabisha mwambieni ajipange akasimame naye kwenye ubunge 2015 kama huyo Kibonde hajatolewa nduki na kujisarimisha polisi
Hawa hawako sawa hata kidogo. Umaarufu wa mr 11 hauwezi kufutwa na Kibonde hata kwa chembe. Kama Kibonde anabisha mwambieni ajipange akasimame naye kwenye ubunge 2015 kama huyo Kibonde hajatolewa nduki na kujisarimisha polisi