Amina Thomas
JF-Expert Member
- Mar 9, 2008
- 272
- 130
Jana nilikaa na msanii ambae alikua anampa siri kwamba eti mh! Lukuvi amepanga kumtosa mh. Sugu kwenye tamasha la kesho kutwa ili amkomoe! Anasema amepata habari toka kwa chanzo cha kuaminika kua lukuvi atamtia aibu sugu kwa kuomba udhuru katika dakika za mwisho ili amtie aibu. mwenye uhakika na hii hila naomba atujuze mapema.