Amina Thomas
JF-Expert Member
- Mar 9, 2008
- 272
- 130
akichomoa dakika za mwisho atakuwa amejiabisha mwenyewe maana mtu mwenye akili timamu anajua maana ya muda pamoja na appointment! hivyo tutamuona mjinga maana anatakiwa atoe taarifa mapema juu ya kutofika kwake! ingawa huwa kuna dharula ambazo haziepukiki kama ugonjwa, kufiwa, maafa n.k na kila sababu inapimwa kwa uzito wake! ina maana Lukuvi ana anticipate hayo?! sidhani, nadhani unajaribu kutengeneza hisia zako!
Lukuvi?bora nikae zangu kona bar nilewe kuliko kuja huko kumbe mgeni rasmi ni lukuvi..aghjjj
Jana nilikaa na msanii ambae alikua anampa siri kwamba eti mh! Lukuvi amepanga kumtosa mh. Sugu kwenye tamasha la kesho kutwa ili amkomoe! Anasema amepata habari toka kwa chanzo cha kuaminika kua lukuvi atamtia aibu sugu kwa kuomba udhuru katika dakika za mwisho ili amtie aibu. mwenye uhakika na hii hila naomba atujuze mapema.
lukuvi au nchimbi?
Lukuvi hawazi kuhudhuria matamasha ya wahuni.