Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Wengi mnaweza kudhani ni Wenje pekee ndiye msanii sanii kwenye kile Chama jambo ambalo si kweli kabisa.
Yupo mdau mwenzake kwenye uga huo al-maarufu kwa majina Joseph Mbilinya a.k.a Sugu. Mwamba huyo maisha yake yote si ya uhalisia hata kidogo pale Chadema. Muda wote yeye ni mnafiki na mfitini kwa kiwango cha lami ngumu.
Sugu, muda wote yeye ni kujipendekeza kwa Mbowe kwa maslahi yake binafsi na hawezi abadani kumkosoa Mbowe hata kama wazi ni shuhuda wa jambo lisilo sawa litendwalo na Mbowe. Hukaa kimya kutetea ugali wake.
Ndumila-kuwili Sugu huwa hali Chadema peke yake bali hata upande wa pili kule MCCCCM, huwala vile vile akihudumu kama mpeleka taarifa.
Ki ujumla, Sugu ni MNAFIKI!