Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Blue anatumia busara.. Sugu anaangaika dhambi ya usaliti inamtesa.Wenye wimbo wameshatoa tamko ..sasa blue amedhulumiwaje ?? Na mbona blue ajafungua mdomo toka doxa chali atoe uthibitisho huo??
Blue anatumia busara.. Sugu anaangaika dhambi ya usaliti inamtesa.[/QUOTE
Ni kwweli kabisa hii dghambi haitamwacha. Pesa za NBungeni hazimtoshi tu? Huyu ndio anatakiwa awatete wanamuzike, yeye ndio anakuwa wa kwanza kuwadhulumu wanamuziki. Shame on him! Hii ndio type ya Wabunge tulionao, shame!