Samwel John
New Member
- Aug 5, 2009
- 2
- 0
Heshima zenu wakuu,
Naomba kuuliza kama kuna member yeyote anayejua tailor mzuri wa suit hapa Dar es salaam, Nina Suit zangu nimetumiwa na jamaa wangu lakini zina kasoro kidogo ya vipimo, ni kubwa kiasi natafuta fundi mzuri anirekebishie.
Asanteni
Samwel John
Muone Jeetu, ni fundi mzuri sana. Anapatikana kwa namba 0784-483242.
Yuko karibu na kitumbini. Itapendeza kama utashona kittu kipya kabisa kuliko kumpa dili la kurekebisha....
Nimefurahi pia kujifunza kwa kwetunikwetu kuwa kuna mafundi wanawachomekea "wa kuja" wakiwauzia suti za ilala na kudai ni za italy. Hii inaonesha kuwa watanzania tuna uwezo wa kutengeneza vitu vizuri vikauzika lakini mpaka mtu kuamini kuwa product yako ni nzuri, inabidi umdanganye kuwa ni ya nje ya nchi ....
Jameni, tutafika????

Hiyo biashara iko sana Bankok, Thailand. Unashonewa suti na kuulizwa lebo unayotaka ili wakuwekee. Kama si mataalamu, huwezi kuona tofauti na zile za kwenye maduka makubwa ya ulaya. Ila mbaya ni pale ukiikuta tayari imeshonwa na kuingizwa dukani. Unaweza kununua suti ya dola 50 kwa dola 300.
Hivi jamani, nani anaweza kutusaidia vigezo vya kuhakikisha suti ni suti ya kiukweli-ukweli 😕
there is no way you can know,just imagine mpaka gari ya FERRARI,zimekutwa zinatengenezwa fake na you just cant see the differenceHivi jamani, nani anaweza kutusaidia vigezo vya kuhakikisha suti ni suti ya kiukweli-ukweli 😕
Hivi jamani, nani anaweza kutusaidia vigezo vya kuhakikisha suti ni suti ya kiukweli-ukweli 😕
Nenda KHARID maeneo ya Mnazi mmoja karibu na bank ya NBC mtaa wa Agrey/Jamhuri kwenye kona pale huyu jamaa namwaminia hata Magufuli iwa anashona pale.
Mkuu Fidel,
Hebu nisaidie kidogo. Magufuli ameingiaje hapa? Una maana ndiye SI unit ya wavaa suti hapa bongo i.e ndiye mwenye suti bomba kuliko wote?
Hahahahaha mkuu nasisitiza tu jamaa mtaalamu wa kushona mkuu hata Tiba nae iwa anaenda pale kushonesha au ni vibaya Magufuli kushonesha suti maeneo ya mnazi mkuu?
Hahahahaha mkuu nasisitiza tu jamaa mtaalamu wa kushona mkuu hata Tiba nae iwa anaenda pale kushonesha au ni vibaya Magufuli kushonesha suti maeneo ya mnazi mkuu?
Mkuu Fidel,
Tiba mbona huwa zinamvaa au unamuongelea Tiba mwingine?.
Hehehe mkuu ndo style yake bana.