ndio hapo mkuu nilikwambia hiyo ya mtaani siijui, ndio maana nikaomba picha.
ila hii inakuwa dark brown, unaweza kulamba kama pipi maana nayo haikinai sana, lakini, narudia tena...lakini, inakuwa imetengeneza sumu fulani ambayo si nzuri kwa afya yako..
ni sukari ndio lakini kwa jinsi ilivyokuwa sasa haihitajiki mwilini kwa hata hizo guru jaribu kuziepuka.