Mfumuko wa bidhaa muhimu kama sukari umechangia ugumu wa maisha kwa watanzania wa kipato cha chini. Serikali ilijitahidi kupambana kuzuia bei ya sukari kupanda bila mafanikio.
Nadhani sasa ni muhimu kwa wagombea watoe ahadi ya kuhakikisha wanadhibiti mfumuko wa bei kwa bidhaa muhimu ili kupunguza ukali wa maisha kwa watanzania ambao bado hawajaufikia huo uchumi wa kati na kipato chao ni chini ya dola moja kwa siku.