Lakini chai inagongwa tu. Tanzania ni nchi tajiri dunianiMshahara umesimama palepale duu
Mfumuko wa bidhaa muhimu kama sukari umechangia ugumu wa maisha kwa watanzania wa kipato cha chini. Serikali ilijitahidi kupambana kuzuia bei ya sukari kupanda bila mafanikio.
Nadhani sasa ni muhimu kwa wagombea watoe ahadi ya kuhakikisha wanadhibiti mfumuko wa bei kwa bidhaa muhimu ili kupunguza ukali wa maisha kwa watanzania ambao bado hawajaufikia huo uchumi wa kati na kipato chao ni chini ya dola moja kwa siku.
Mshahara umesimama palepale duu
Lakini chai inagongwa tu. Tanzania ni nchi tajiri duniani
Watanzania wengi wana waza hayo?!! Tena cha ajabu zaidi, wale wenye maisha magumu sana, hata kula yao kwa siku ni tabu, bwana ukikisema chama chakavu, povu lake kama amekunywa pipa la omo!! Na ugumu wa maisha unavyo mgonga ni balaa!! Masikini ndio mtaji wa hicho chama!! Wanaojielewa wako huko ki masilahi tu!! Wanapiga wanawatia ujinga MBUGILA MBUGILA!!! Wao wanazidi kunyonya