The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 1,993
- 2,635
Nchi ngumu hiiHabari, huko kwenu sukari inapoatikana kwa urahisi? na ni kwa bei gani kwa kilo?. Sehemu niliyoko mm haipatikani kirahisi na kilo ni kuanzia sh 4000/= na kuendelea mpaka 5000/= kutegemeana na muuzaji.
Sukari, Sukari Sukari, mbona unatutesa watanzania??
Huku ni 3600-4000. Inapatikana madukaniHabari, huko kwenu sukari inapoatikana kwa urahisi? na ni kwa bei gani kwa kilo?. Sehemu niliyoko mm haipatikani kirahisi na kilo ni kuanzia sh 4000/= na kuendelea mpaka 5000/= kutegemeana na muuzaji.
Sukari, Sukari Sukari, mbona unatutesa watanzania??
CCM watasema kuwa wanafuata ushauri wa Profesa Janabi kuwa watu wasitumie Sukari ili kuepuka magonjwaHabari, huko kwenu sukari inapoatikana kwa urahisi? na ni kwa bei gani kwa kilo?.
Sehemu niliyoko mm haipatikani kirahisi na kilo ni kuanzia sh 4000/= na kuendelea mpaka 5000/= kutegemeana na muuzaji.
Sukari, Sukari Sukari, mbona unatutesa watanzania??
Hate speech.Sukari kaachiwa yule mwarabu koko aliyekondeana Mkurugenzi wa Mtibwa pamoja na Kagera Sugar afanye atakalo kwenye hiyo industry. Wanaificha ili wapandishe bei na bi. Tozo yupo tu anaigiza na Wachina kwani mwarabu mwenzie wa Micheweni anakula Keki ya nchi.
samia unazunguka tu nchi imekushinda.Habari, huko kwenu sukari inapoatikana kwa urahisi? na ni kwa bei gani kwa kilo?.
Sehemu niliyoko mm haipatikani kirahisi na kilo ni kuanzia sh 4000/= na kuendelea mpaka 5000/= kutegemeana na muuzaji.
Sukari, Sukari Sukari, mbona unatutesa watanzania??
Sukari sio kitu cha lazima acheni kujiendekeza.Habari, huko kwenu sukari inapoatikana kwa urahisi? na ni kwa bei gani kwa kilo?.
Sehemu niliyoko mm haipatikani kirahisi na kilo ni kuanzia sh 4000/= na kuendelea mpaka 5000/= kutegemeana na muuzaji.
Sukari, Sukari Sukari, mbona unatutesa watanzania??
Waliipiga hiyo hela. Visima vya umwagiliaji vya mita 40 vikachimbwa kwa Tshs. milioni 80 kila kimoja.Miaka 62 baada ya Uhuru tuna discuss sukari?
Kuna mradi wa sukari wa NSSF uliishia wapi? Au hela tumejengea mahekalu ununio?