Doctor MD
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 209
- 249
Wanga na sukari ni vyakula ambavyo hutia mwili nguvu.
Lakini ulaji wa vyakula aina hiyo unapaswa kuangaliwa kwa umakinj mana ni kiasi kidogo mno ambacho hutumika kuleta nguvu kwa mtu. Hivyo basi kupelekewa sukari/wanga inayozidi kutunzwa ndani ya mwili ikiwemo kwenye ini, misuli n.k.
Utunzwaji huu wa sukarr/wanga(ini, tishu) huleta changamoto mbalimbali ya kiafya ikiwemo shinikizo la damu, kisukari, saratani, magonjwa ya moyo, kiharusi, upungufu wa nguvu za kiume, ugumba, matatizo ya figo n.k.
Hivyo zingatia mno matumizi yasiyo ya lazima ya sukari/wanga
Fuatana nami
Dr. Msokwa MD
0757160773