ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Naona suala la sukari limekuwa sensitive sana, kukosekana kwa sukari imeonekana kama vile ni kukosekana kwa chakula.
Niwaambieni ukikosa sukari hufi, na pia sukari ni mbaya Sana kiafya na Katika mwili wa binadamu, kinachionekana muhimu kwenye sukari Ni umuhimu wake kiuchumi, Viwanda vinategemea sukari kuzalisha junk food (soda, cake, juice, biskuit) vyakula ambavyo Ni hatari kiafya na vinasababisha Kansa, sukari, high blood pressure, mi naona hata sukari isipokuwepo Ni sawa kwakuwa Ina faida kiuchumi tu, sukari inashusha Kinga ya mwili insyosababisha corona kukuvamia kwa Kasi na kukuua.
Tuache na Mambo ya kushabikia sukari, chai unaweza ukanywa bila sukari, kwani tumbo huwa halitambui hii chai inasukari au haina, sisi ulimi unatuponza Sana ,mtu anataka apate ladha ya sekunde kwenye ulimi half badae majuto.
Watanzania tujifunze kutopenda vyakula vya sukari na sukari kwa ujumla, Ila tusiache matumizi kwakuwa tunaitegemea sana kiuchumi Ila tuwe waangalifu