Sukari si bidhaa ya lazma kwa binadamu, athari zake kiafya ni mbaya, ni kiuchumi tu ndo inasound


Umesahau Kuandikia namba ya simu hapo chini mkuu, anyway Timing yako nzuri maana kuna Mkuu wa Wilaya flani huko Geita/Mwanza kafariki
 
Vipi kuhusu wauza maandazi,mikate,watengeza cake za kuuza,,wakati mwingine jifunze kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka nilivyokuwa shule ya msingi kulikuwa na lileshairi la sungura; SIZITAKI MBICHI HIZI.
unajua sungura alisema maneno haya baada ya nini?

Sasa hicho ndicho kilichotokea hapa.
 
Ni kweli sukari inaleta uteja kama madawa ya kulevya. Lakini ukizoea bila sukari ni poa tu maisha yanasonga
 
Ni kweli kabisa kiafya vitu vya sukari inayotengezwa viwandani havifai kwa afya ya binadamu.

Kwa kutambua hilo wakati huu wa kusambaa kwa maambukizi ya COVID-19 ushauri ni kutumia juisi ya mchanganyiko wa limau+tangawizi+kitungu saumu, kwa kwenda mbele. Wakati mwingine kunywa mchaichai ikiwa na asali kidogo.

Kwa pamoja Tanzania bila COVID-19 inawezekana ikiwa kila mmoja wetu atawajibika kwa maisha, uhai wake na wa jirani pamoja na wapendwa wake.
 
Umetisha kiongozi wa baadae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…