Sukari ya Brazilian bei ya offa kwa msimu wa krismass tu.

Sukari ya Brazilian bei ya offa kwa msimu wa krismass tu.

Haya haya tuwahi tusafishe store. Ipo zaidi ya metric tonne 15,000 local. Naitoa sukari hii kwa mfanya biashara wa ndani anaechukua kwa jumla tu.
Kila mfuko Mmoja ntampa kwa 110,000 hauwezi pata popote bei hio. Njoo fasta uchukue ukaweke stock dukani kwako nipo Dar es salaam.
Natoa kuanzia gari Moja.
Mteja wa chini ya hapo nicheki tuone tunasaidiananje..
0783973428
Screenshot_20241221-202533.jpg


Kwani dukani bei gani rejareja??
 
Back
Top Bottom