Al-akhdally
Member
- Jul 3, 2018
- 96
- 119
🤔🤔Ndani ya mfuko Kuna packet ngapi?
Nipo dar mkuu. Kama upo serious nicheki kwa sim yangu tufanye kazi. 0783973428Bei nzr mkuu, location je.
Haya haya tuwahi tusafishe store. Ipo zaidi ya metric tonne 15,000 local. Naitoa sukari hii kwa mfanya biashara wa ndani anaechukua kwa jumla tu.
Kila mfuko Mmoja ntampa kwa 110,000 hauwezi pata popote bei hio. Njoo fasta uchukue ukaweke stock dukani kwako nipo Dar es salaam.
Natoa kuanzia gari Moja.
Mteja wa chini ya hapo nicheki tuone tunasaidiananje..
0783973428
Dukani bei itakuwa Juu zaidi
Dukani sukar kg 2,500...huku kwetu...