Sukari ya Uganda kusambaa sana nchini kuliko yetu, tatizo nini?

Rais wenu alisema amejenga v-wonder vingi tu viko wapi ?Mpaka sasa Uganda waanze kuleta bidhaa wakati sisi Ni nchi ya v-wonder
WATANZANIA WANAONGEA SANA BILA KUTENDA,HIVI KWELI SISI NIW AKUKOSWA SUKARAI KWA MIAKA YOTE HIYO HADI TO IMPORT KUTOKA KWA MAJIRANI.UGANDA WANAZALISHA TANI LAKI 6.50 NA MATUMIZI YA NDANI NI TANI LAKI 3.50 HIVYO HIZO ZINGINE WANAUZA TANZANIA NA NCHI ZINGIZE..LAKINI TANZANIA INADEMAND YA TAONI LAKI 7 ILA INAZALISHA TONI LAKI 3.50,,SO ZIADA INAAGIZWA JE SHIDA NININI KWA WATANZANIA?
 
Nchi ina miaka takribani 60 ya uhuru haina dira ya taifa unategemea itapiga vipi hatua katika nyanja zote muhimu kijamii,Elimu,uchumi,siasa nk
 
Kuna zimwi gani Tanzania? Hivi bongo bahati mbaya kweli au ni ugumu wa kuwekeza hapa?

Sukari Tanzania ni shida, mafuta ya kula ni shida,kwanini tuna dhida wakati tuna kila kitu nchini?
Inachekesha sana nchi yetu, hawa wazalishaji wakiulizwa mbona sukari bei juu jibu lao ni mija tu
PRODUCTION COST ipo juu... Sasa sisi wananchi tuumie kisa nini ? Si heri tu import tu...
 
Halaf ajabu, nimesikia watu wa bonde la kilombero mwaka jana wamepata hasara ya tani laki 4 za miwa, kiwanda hakikuchukua ... Yaan wanazalisha miwa mingi kuliko capacity ya kiwanda. Mbunge wao anasema mwaka huu wakulima watapata hasara ya zaidi ya tani laki 4 za mwaka jana cz kiwanda kimepunguza kiasi cha miwa watachochukua tena mwaka huu.
 
Kuna zimwi gani Tanzania? Hivi bongo bahati mbaya kweli au ni ugumu wa kuwekeza hapa?

Sukari Tanzania ni shida, mafuta ya kula ni shida,kwanini tuna dhida wakati tuna kila kitu nchini?
Mkuu...sera yetu ya kulinda viwanda vya ndan ni shiiiiida...na ndomana watu hawatak poteza muda ....product toka nje znaingia kiholela tuu. Utandawaz na soko huria na serikal kutoipa sera hyo meno ndicho chanzo....kuna watanzania wanaiona hyo fursa kila uchwao,mtu ana install mitambo na machine kila kitu..anatumia umeme wa gharama.kila kitu gharama. Kodi za kutosha...halaf hapo hapo Anatokea mfanyabiashara keshapiga mahesab yake..anajua akichkua sukar brazil ambako umeme kule ni wa nuclear viwanda vinafyatua tu...gharama si kubwa..hawana makodi meng..anaona akileta sukar hyo kwa unafuu akiuza kila 2500 atapata faida kubwa tu . Sasa huyu mwenye kiwanda Tanzania kutokana na mazingira magumu yeye ili apate faida inabid auze sukar 2800...unategemea huyu mwenye kiwanda tanzania ataendelea na kiwanda au nayeye ataamua kuagiza hyo sukar na kupunguza urasimu na milolongo mireeefu.
 
Dah, hatari sn.
 
Hii nchi ina watu wanaongea Sana lakini utendaji zero.Mtu akijitahidi Kuanzisha kitu urasimu,usumbufu na upuuzi ni mwingi Sana

Ndio maana hakuna kinachofanyika
 
Halaf ajabu, nimesikia watu wa bonde la kilombero mwaka jana wamepata hasara ya tani laki 4 za miwa, kiwanda hakikuchukua ... Yaan wanazalisha miwa mingi kuliko capacity ya kiwanda. Mbunge wao anasema mwaka huu wakulima watapata hasara ya zaidi ya tani laki 4 za mwaka jana cz kiwanda kimepunguza kiasi cha miwa watachochukua tena mwaka huu.
Mwendazake aliharibu biashara Sana
 
Kuna zimwi gani Tanzania? Hivi bongo bahati mbaya kweli au ni ugumu wa kuwekeza hapa?

Sukari Tanzania ni shida, mafuta ya kula ni shida,kwanini tuna dhida wakati tuna kila kitu nchini?
Kuna uhaba mkubwa wa sukari wacha iwe nyingi na bei ishuke.
 
Mkuu...sera yetu ya kulinda viwanda vya ndan ni shiiiiida...na ndomana watu hawatak poteza muda ....product toka nje znaingia kiholela tuu. Utandawaz na soko huria na serikal kutoipa sera hyo meno ndicho chanzo....kuna watanzania wanaiona hyo fursa kila uchwao,mtu ana install mitambo na machine kila kitu..anatumia umeme wa gharama.kila kitu gharama. Kodi za kutosha...halaf hapo hapo Anatokea mfanyabiashara keshapiga mahesab yake..anajua akichkua sukar brazil ambako umeme kule ni wa nuclear viwanda vinafyatua tu...gharama si kubwa..hawana makodi meng..anaona akileta sukar hyo kwa unafuu akiuza kila 2500 atapata faida kubwa tu . Sasa huyu mwenye kiwanda Tanzania kutokana na mazingira magumu yeye ili apate faida inabid auze sukar 2800...unategemea huyu mwenye kiwanda tanzania ataendelea na kiwanda au nayeye ataamua kuagiza hyo sukar na kupunguza urasimu na milolongo mireeefu.
Shida sio bidhaa kuingia nchini bali production costs na ufinyu wa wafanya Kazi.

Unatakiwa uweke mazingira rafiki zaidi yawe laize afare hususani kwenye bidhaa za kilimo hapo utawavuta wawekezaji.

Usipofanya hivyo ukazuia import mwisho wa siku hutapata unachokitaka na gharama ya bidhaa kwa raia itakuwa juu.

Viwanda kwenye sekta ya kilimo vinahitaji kubembelezwa,unaweza usipate faida ya kodi moja kwa moja ila ukapata faida ya ajira kwa watu na kuongeza thamani ya Mazao ya wakulima wakapata soko la uhakika na mwisho wa siku raia tukapata bidhaa kwa bei rahisi.
 
Back
Top Bottom